Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Asante best nampendaga Patrick simulizi zake zote nimeshazisoma namalizia hiyo Serena sasa hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MadamS riwaya gani inaendelea kwa sasa?nzuri nimeipenda
Nmemuhaeibuje mm
The lost boys dearMadamS riwaya gani inaendelea kwa sasa?
Nimecheka mpaka machozi hapaEbu soma ulichoandika kwanza
Ngoja niichekiThe lost boys dear
PoapoaNgoja niicheki
Huyu hajawahi kuwa na simulizi mbaya jombaaa..."""Iko vizur asee
Asante shemela npo hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ebu soma ulichoandika kwanza
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Nimecheka mpaka machozi hapa
Nimecheka mpaka machozi hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lol sio kwa mchapio huo
Madame we ulielewa kweli alichoandika labda asome mwenyewe angeelewa alichoandika jamani[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Madam S na ww umenicheka
Hata sikumuelewa nahisi atakua ana undugu na sky eclat kwa kuchapiaMadame we ulielewa kweli alichoandika labda asome mwenyewe angeelewa alichoandika jamani
Hahahahhahaha nimefurah tu na ulichoandika[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Madam S na ww umenicheka
Hahahahhahaha nimefurah tu na ulichoandika[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Madam S na ww umenicheka
Nitag huko""...mkuu" mbona hiyo mimi sijaisoma...Aiseee huyu Jamaa sitakagi kabisa simulizi zake zinipite ""....yaaniAsante best nampendaga Patrick simulizi zake zote nimeshazisoma namalizia hiyo Serena sasa hivi
Mkuu Patrick ck " ni moto wa kuotea mbali "" na kumbuka story ya peniela iliyokuwa inaletwa na lege "" ilikuwa inawafanya watu wachanganyikiwe ""....huyu Jamaa ni genius simulizi "" wee msikie hivyo hivyo tu"",....story nzuri sana asee nimeipenda..
sipati picha huko mbele lazima kutakua na songombingo
cc Smart911