Riwaya: Kiapo cha jasusi

Asante best nampendaga Patrick simulizi zake zote nimeshazisoma namalizia hiyo Serena sasa hivi
 
Matata kabisaa kama naangalia movie kali sana
. napenda dana story za ki intelligencia.
 
story nzuri sana asee nimeipenda..
sipati picha huko mbele lazima kutakua na songombingo

cc Smart911
 
Asante best nampendaga Patrick simulizi zake zote nimeshazisoma namalizia hiyo Serena sasa hivi
Nitag huko""...mkuu" mbona hiyo mimi sijaisoma...Aiseee huyu Jamaa sitakagi kabisa simulizi zake zinipite ""....yaani
 
story nzuri sana asee nimeipenda..
sipati picha huko mbele lazima kutakua na songombingo

cc Smart911
Mkuu Patrick ck " ni moto wa kuotea mbali "" na kumbuka story ya peniela iliyokuwa inaletwa na lege "" ilikuwa inawafanya watu wachanganyikiwe ""....huyu Jamaa ni genius simulizi "" wee msikie hivyo hivyo tu"",....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…