Riwaya: Kiapo cha jasusi

Riwaya: Kiapo cha jasusi

Inabidi sasa tuwaombe mods waweke na jukwaa la Riwaya maana huku naona Kama hakujakaa sawasawa kwa waweka riwaya zao

Au nakosea kuwaza shem
Wala Shem haujakosea tulishalisemaga hili na thread iliwekwa kabisa labda turudie tena
 
Wala Shem haujakosea tulishalisemaga hili na thread iliwekwa kabisa labda turudie tena
Sawa inabidi tupige kampeni upya nadhani wataelewa safari hii ikibidi tuwafuate na pm kwao kabisa ili wachukulie uzito kidogo
 
Shunieeeeee wewe ile yako iko wap ya Yule fareed mbn kimya au iliishaga?
 
Hii stori kama ile ya Peniella??? Tulikuwa kama mateja...please mtunzi tunaomba usitufanye hivyo...weka mambo
 
Back
Top Bottom