Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh....una maanisha kuwa sehemu iliyobaki kuipata mpaka kulipia?Mwandishi ameshatoa Season 2 tayari.
Asante ntaisoma nikitulia leo home nina ugeeni
Asante sna Mkuu..... ngoja niipitie
uko njema lakini ??
Hahaha hufaiSawa mama shughuli...
Namaanisha kuwa, hii inayoendelea kwa sasa ni season 1 na bado haijaletwa yote. Wakati wewe hujamaliza season 1, tayari season 2 imeshatoka.Ooh....una maanisha kuwa sehemu iliyobaki kuipata mpaka kulipia?
Asante Tater
Jamani padri kafa
Kaendeleza kwenye uzi mwingine bado mgeni tumvumilieLeo hii simulizi haipo??
Buheri wa afya shemela wewe je?U hali gani shemela