Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleee Astelia..Kwakweli hii hadithi ilikuwa nzuri ila wamitini wameshaingia[emoji34]
Nimeshammiss Dastan basi tuPoleee Astelia..
Bora huyu. Kuna somebody aitwa the banker alitufanya tuseme matusi ajili ya alostoNimeshammiss Dastan basi tu
Kwakweli sitosoma hadithi mpaka nione kikomo chake haya ni mateso bila chukiBora huyu. Kuna somebody aitwa the banker alitufanya tuseme matusi ajili ya alosto
Uko sahihi kabisa bibie, wanakera sana hawa watu.... mm nishakua mvivu wa kusoma kabisaKwakweli sitosoma hadithi mpaka nione kikomo chake haya ni mateso bila chuki
Huko wasapu imefika wapi hii Riwaya mkuu?Mi niliamua kuwa nawafataga wanapokimbiliaga(whatsup),
Ila wanaboa na kukela,kwanini MTU hasiwe muwazi tu,ili tujue hii ngoma haitoboi hadi mwisho?Uwa wanaanza riwaya Kwa speediiii Mara gafla wanakata huku visingizio tani sita.
Hii sijaifatilia.hivyo sijajua kama wameitoa au bado.Huko wasapu imefika wapi hii Riwaya mkuu?
Wametoa mkuu.
Hii sijaifatilia.hivyo sijajua kama wameitoa au bado.