RIWAYA: Mifupa 206

Kevin Mponda inaelekea anapenda sana mvua. Halafu anahadithia mno, kwa mfano anaweza kuchukua kurasa 3 kukielezea chumba na vitu alivyovikuta!
Shida ukielezea sehem ambazo zinahitaji marekebisho watu wanaona km una chuki na muandishi kumbe ni sehem ya kusaidia uboreshaji wa hadithi iendane na uhalisia.
Ila ndio watz wengi tulivyo hatupendi kuhoji lolote kwasababu in bure unaogopa, kumbe haimjengi mwandishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…