Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman msilaumu sana l,usijekuta huyo banker amefwaliki dunia,LA muhimu tumuombee apokelewe Kwa amani.
Duuh wewe acha hizo.unawezaje kuwaza kufa kwenye vitu rahisi rahisi?Jaman msilaumu sana l,usijekuta huyo banker amefwaliki dunia,LA muhimu tumuombee apokelewe Kwa amani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] alisema akipata muda atakuja kuimaliziaJaman msilaumu sana l,usijekuta huyo banker amefwaliki dunia,LA muhimu tumuombee apokelewe Kwa amani.
Jaman msilaumu sana l,usijekuta huyo banker amefwaliki dunia,LA muhimu tumuombee apokelewe Kwa amani.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] aisee umemuwazia mbali sanaa jamaniJaman msilaumu sana l,usijekuta huyo banker amefwaliki dunia,LA muhimu tumuombee apokelewe Kwa amani.
Pole Sana mkuu, mwanadamu haridhiki hata kwa lipi hivyo ni Vema kuwachukuli poa na mapungufu yao,, pia ahsante sana kwa taarifa zenye kuleta imani, leo silali mkuu, ujue kabisa usipo tuma leo umenilaza macho mkuu 😀 😀 😀 😀 😀Wakuu poleni na alosto. Kimsingi kuna baadhi ya watukwa ukosefu wao wao tu wa ustaarabu wanachangia kuleta mateso kwa watu wasio na hatia. Mie ni binadamu ninahisia. Sasa utakuta mtu anadiriki hata kumtukana mtu baye hamlipii bundle wala muda wake. Tena mtu huyo hajaomba hata senti moja kwa wasomaji. Yaani hizi kazi tumapost humu kama hobby kwani na sie tunasoma kazi za wengine wengi humu. Pia kumbuka kunakuwa na maelekezo ya mtunzi ya kusimama kwa mda kutuma.(nikikiuka hili sitapewa tena soft copy na mtunzi)
Anyways leo jioni nafanya mambo
Wakuu poleni na alosto. Kimsingi kuna baadhi ya watukwa ukosefu wao wao tu wa ustaarabu wanachangia kuleta mateso kwa watu wasio na hatia. Mie ni binadamu ninahisia. Sasa utakuta mtu anadiriki hata kumtukana mtu baye hamlipii bundle wala muda wake. Tena mtu huyo hajaomba hata senti moja kwa wasomaji. Yaani hizi kazi tumapost humu kama hobby kwani na sie tunasoma kazi za wengine wengi humu. Pia kumbuka kunakuwa na maelekezo ya mtunzi ya kusimama kwa mda kutuma.(nikikiuka hili sitapewa tena soft copy na mtunzi)
Anyways leo jioni nafanya mambo
Mikwara mbuziNasubiria mzigo mkuu. Ukizingua nakupa radhi walahi.... na itakufikia popote ulipo (just kidding)