Muhammed Rider
Member
- Sep 7, 2017
- 17
- 0
kaka banker na wengne mliopo humu ndan. jmn mwnz kwa jna naitwa RIDER am new here. nahtj coorperation wn ndg zng
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampani ya nini akati watu tuna arostoo zetu ukuukaka banker na wengne mliopo humu ndan. jmn mwnz kwa jna naitwa RIDER am new here. nahtj coorperation wn ndg zng
kaka banker na wengne mliopo humu ndan. jmn mwnz kwa jna naitwa RIDER am new here. nahtj coorperation wn ndg zng
Nini kimemuuwa mkuu? dah... R.I.PR.i.p mkulu the banker
ni kweli au promo mkuu naomba tuweke sawa.R.i.p mkulu the banker
Aiseee
Umepotea mazima yaaaniiKama nilivyoahidi hapo jana kuwa mwandishi wetu wa riwaya ya mtutu wa bunduki ameniomba niwajulishe kuwa adithi yetu itaendelea kuanzia ijumaa ijayo. Hii inatokana na kutingwa na majukumu mengine katika ujenzi wa taifa. Lakini pamoja na hayo amenipa jukumu la kuwaletea riwaya yake ya MIFUPA 206. Nawaomba muwasiliane na mtunzi kwa namba
0688058669 kwa ajiri ya kupata nakala za vitabu vifuatavyo
1.Tai kwenye mzoga (hiki nacho nitakileta humu mpaka nitakavyoelekezwa tofauti na mtunzi)
2.Msitu wa madagascar
3.Mifupa 206
Nawaomba tuthamini kazi za watunzi wetu kwa kuwaunga mkono kwa kununua kazi zao ili wafaidi matunda ya vipaji vyao. Twende kazi.......
Mods naomba mnisaidia kuexpand hiyo attachment ambayo ni cover ya kitabu