Riwaya Mpya: Mpelelezi Ray Shaba katika

Riwaya Mpya: Mpelelezi Ray Shaba katika

[emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mzee hauko serious ulitaka kututamanisha tu
uuh kwanini unasema hivyo? jamani kwani Trailer ya movie ina lengo gani? Mimi hadi hivi sasa nataka kwenda kuiona Black Panther.. maana inatamanisha... 😉😉😉😉
 
Huyu Shabba Ranks ni noma. Katoka kwenye Mr. Lover man, Ting a ling, House Call ftn Maxi Priest, Je Jam featuring Queen Latufah and KRS1, Trailer Load a Girls, Slow and Sexy, Na Respect hadi kuwa mpelelezi mahiri!!! Kweli maisha ni safari ndefu.
Teh teh buji buji bhana!!!!!!! Turudi zetu siasani huyu Mzee anazeeka kinoma zaidi
 
Back
Top Bottom