Riwaya: Msako wa Hayawani

Nimekutana na mkuu idawa jukwaa Fulani nilijua una udhuru mkuu tafadhali unasakwa huku
 
Eeee Mueshimiwa idawa hata wkend ujaweka story,basi tuambie upo wapi tuje kutoa copy kitabu
 
Huu mtindo wa kuanza kutupia kitabu humu kabla hakijakamilishwa kutype ndio madhara yake haya. Inabidi watu wawe wana type kwanza mpaka mwisho, halafu ndio tupost kwa mtiririko unaoeleweka.
 
Huu mtindo wa kuanza kutupia kitabu humu kabla hakijakamilishwa kutype ndio madhara yake haya. Inabidi watu wawe wana type kwanza mpaka mwisho, halafu ndio tupost kwa mtiririko unaoeleweka.

Mkuu kwani kitabu ni cha kwake kwani?
 
Unanikumbusha Wimbi la Kitintale-Mayuku, Chino, Zuma, Obi na wengineo ktk gazeti la Sani enzi hizo!
 
Mkuu kwani kitabu ni cha kwake kwani?

Hata kama kitabu si chakwake, hivyo ndivyo inavyofanyika. Yani mtu anakuwa na nakala ya kitabu, anatype ili awe na softcopy aweze kushare kwenye mitandao.
 
Hivi mleta hii story haonagi hata aibu mpaka sasa hajaendeleza story basi kama aibu hana basi awe na huruma basi Kwa wasomaji wake!?
 
Mtu kama hana uhakika wa kumalizia story akae nao asitusumbue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…