Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siamini kama Kassim atashikwa kama kuku.
mkuu hicho chumba 202 wameshamchomoa Kembo ametoka bila ubishi. Sasa wanaenda kwa huyo gaidi Kessy. Riwaya inaenda mwisho hii. Kessy hana ujanja kwa komandoo Denny na Inspector Bessy. Ila kipande kinachofuata ni kule hospitali. Nahisi Dr. atashitukiwa.Hapo patamu!
Ila sidhani kama atashikwa kizembe kama kuku!
Usikute hiko chumba namba 202 kuna jeshi kubwa la Kassim na wenzake.
Tusubiri tuone uhondo.
Mi nasubiri kule kwenye
Just 2cc
Naumia Dr Makete ana kufa.
Hadi Hayawani Mwenyewe atatoroka............