Brodre
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 2,585
- 1,771
- Thread starter
-
- #301
SIN 132
Muandishi…………………………………………….EDDAZARIA G.MSULWA(G.Authour)
Age ……………………………………………………18+
Simu………………………………………………… 0657072588(whatsapp) au 0768516188
ILIPOISHIA
‘Ehee Mungu wangu nita fanya nini mimi?’
Julieth alizungumza kimoyo moyo huku akimtazama Jery aliye inamisha kichwa chake kwenye mskani wa gari hilo huku akiendelea kulia kama mtoto mdogo.
“Mume wangu”
“Mmmmm”
“Nina mpango katika hili, je upo tayari tushirikiane?”
Jery taratibu akanyanyua kichwa chake na kumtazama Julieth usoni mwake kisha akatingishwa kichwa akimaanisha kwamba ame kubaliana na chochote atakacho kizungumza mke wake huyo ambaye hawajapata mapumziko ya faragha toka walipo funga ndoa yao kanisani na mapunziko yao yame angukia kwenye matatizo yanayo umiza mioyo yao.
ENDELEA
“Makamu wa raisi kwa sasa ndio anaye sikilizwa kwenye serikali nzima. Waziri mkuu tuna weza kumueleza jambo ila akalifunjisha kwa maana na yeye hatuhitaji kumuamini. Ninacho kushauri mume wangu, tukodishe wauaji ambao wana weza kumuua makamu wa raisi na sekeseke lote hilo tuna wapelekea Al-Shabab?”
“Ni nani ambaye ata ifanya kazi hiyo kikamilifu?”
“Nipe hadi jioni alafu tuta jua ni nani ambaye ana weza kuifanya kazi hiyo”
Jery akamtazama Julieth kwa sekunde kadhaa kisha akamkumbatia kwa nguvu.
“Nakupenda mke wangu”
“Nina kupenda pia mke wangu”
“Twende wapi sasa hivi?”
Jery alizungumza huku taratibu wakiachiana.
“Twende nyumbani kwa maana hapa njaa ina niuma sana”
Jery akawasha gari na wakaondoka eneo hilo. Wakafika nyumbani kwa nabii Sanga na kuwakuta wazazi wa Julieth.
“Baba tuna waze kuzungumza”
Julieth alimuambia nabii Sanga mara baada ya kuingia sebleni.
“Ndio”
Wakatoka nje na kumuacha Jery akikaa kwenye sofa huku akiwa mnyonge sana.
“Vipi?”
“Tume fahamu ni sehemu gania mbapo raisi Mtenzi yupo”
“Ni wapi?”
“Huwezi amini baba, yumbo nyumbani kwa yule mshenzi Magreth”
“Mage huyu ninaye mjua mimi au mwengine?”
“Huyu huyu.”
“Haka kasichana ni kashenzi sana, kwa nini sasa alimtorosha pale hospitalini?”
“Yaani weee acha tu, hili sekeseka baba nahisi lina mtandao mkubwa sana. Kumbe makamu wa raisi bwana alitaka kumuua raisi Mtenzi”
“Wee”
“Haki ya Mungu vile na hapa bado ana endelea kumsaka ili amuue. Yaani hii ni siri kubwa sana ambayo endapo ita sikika kinywani mwa mtu basi ni lazime auwawe kikatili sana”
“Mmmm sasa una taka kuniambiwa, Magreth ndioa aliye msaidia?”
“Ndio baba”
“Duuu”
“Sasa hivi pale alipo mume wangu, akili yake haipo sawa kabisa. Nimemshauri tukodishe watu ambao wata muua makamu wa raisi, huku mzee akiendelea kufanyiwa maombi”
“Anafanyiwa maombi na nani?”
“Josephine sijui nani, kitu kama hicho”
“Kama ni Josephine ana weza kupona”
“Una mjua?”
“Ndio ni muumini wangu pale kanisani”
“Sasa baba tuna mpatia wapi mtu ambaye ana weza kudili na hili jambo na mbaya zaidi makamu wa raisi ameungana na yule mshenzi Evans na tulimkuta ikulu.”
“Ohooo!!”
“Ndio hivyo na walivyo kutana na mume wangu walizipiga kisawa sawa”
“Usiniambie”
“Ohoo yaani mtiti wake baba haukuwa mdogo kabisa. Hembu niambie ni nani ambaye tuna weza kumpatia hii kazi”
“Kuna Mmexcan mmoja naa itwa Frenando Machete. Ni professional killer, ni mmoja wa watu ninao wafahamu tuna weza kumpatia hiyo kazi”
“Ana weza hiyo kazi?”
“Sana kama kwenye asilimia basi nina mpa asilimia tisini na tisha pointi tisa”
“Sawa, wasiliana naye ili kama aikiwezekana aweze kuja nchini hapa kuikamilisha kazi hiyo”
“Poa ila kazi zake ana zifanya kwa garama kubwa sana”
“Wewe muite tu kwani pesa ni kitu gani baba. Kikubwa nina hitaji kumuaminisha mume wangu kwamba mimi ni mtu mwema, ikiwa haya yote yaliyo tokea una jua chanzo ni mimi”
“Chanzo ni wewe kivipi?”
“Una kumbuka wale askari walio lipuka na boti kipindi kile baharini?”
“Yaa”
“Sasa kuanzia pale raisi si alitoa agizo la Al-Shabab kushambuliwa?”
“Ndio, sasa hapa ndio napata picha. Ila hili jambo usimumbie mtu yoyote kwa maana uta uwawa”
“Weee ni wewe peke yako ndio nime kuambi hili swala baba, ila sinto fungua kinywa changu kumuambia mtu wa aina yoyote”
“Pia mume wangu usimueleze kitu chochote kuhusiana na ogarnaization yako?”
“Usijali baba”
“Ngoja nikaafute diary yangu kwa maana ndipo nilipo andika namba za watu wangu muhimu”
“Sawa”
Wakaingia ndani na Magreth akamfwata Jery sehemu alipo kaa huku nabii Sanga akielekea chumbuani kwake. Akamkuta mke wake akiwa amejilaza kitandani.
“Una jisikiaje?”
“Namshukuru Mungu nipo poa”
Nabii Sanga akafungua shelf yake iliyo jengewa ukutani. Akatoa diary yake ambayo ina namba za watu muhimu sana. Akaitafuta namba ya Frenando Machete na akaipata, akainakili kwenye simu yake na kuipiga. Simu ya Franando ikaanza kuita kisha ikapokelewa.
“Ni mimi”
Nabii Sanga alianza kuzungumza hivyo na Frenando aliweza kumfahamu.
“Ume salimikia nabii Sanga?”
“Ndio, nina mshukuru Mungu nime salimika. Upo wapi?”
“Nina jiandaa kuelekea Colombia. Kuna matembezi mafupi nina kwenda kuyafanya”
“Nina kuhitaji Tanzania?”
“Air port yenu ime salimika?”
“Ya Dar es Salama imefungwa kwa muda, ila wana tumia ya KIA”
“Ahaa hapo nime kuelewa. Una nihiyaji kwa lini?”
“Ikiwezekana hata kesho uwe ume fika nchini Tanzania”
“Basi sawa, naghairi kuelekea Colombia, nina kuja Tanzania. Bado una ishi pale pale au ume hama?”
“Nipo hapa hapa ulipo niacha”
“Sawa, siku njema”
“Nawe pia”
Nabii Sanga akakata simu na kuirudisha diary hiyo ndani ya shelf hiyo.
“Ni nani huyo mume wangu”
“Machete”
“Ana kuja kufanya nini Tanzania?”
“Mke wangu kuna jambo moja kubwa sana linalo endelea hapa nchini. Nina hitaji kumsaidia Jery katika hili”
“Jambo gani?”
“Una weza kuamini kwamba mtu aliye hitaji kumua raisi Mtenzi ni makamu wake wa raisi bwana Jr Madenge”
“Weee!!”
“Haki ya Mungu vile na hapa Julieth ndio ame toka kunieleza juu ya hilo. Sasa nina hitaji kumleta Machete adili na makamu wa riasi na hili la Al-Shaba, nina imani tuta dili nalo kwa upande mwengine wa shilingi”
“Ila hawa wapumbavu, kila nikiwafikiria vijana wangu nina ishiwa na nguvu. Haki ya Mungu nia hitaji hao Al-Shabab wakikamatwa, nimue kiongozi wao kwa kumkata kata kwa mapanga”
Mrs Sanga alizungumza kwa uchungu huku machozi yakimwagika usoni mwake. Taratibu nabii Sanga akaka pembeni ya mke wake na kumkumbatia kwa maana wote wapo kwenye kipindi cha majonzi kwani wame poteza watoto, ndugu, jamaa na wazazi katika mlipuko ulio tokea siku ya harusi ya binti yao kipenzi Julieth.
***
“Evans una paswa kufanya jambo sasa”
Jini Maimuna alizungumza huku akiwa amejawa na wasiwasi mkubwa sana.
“Jambo gani?”
“Ina kubidi umuue Jery, Magreth, Julieth na Josephine. Hao watu wakibaki hapa duniani kila jambo lina weza kuharibika na tukajikuta tuna poteza kila kitu kwa maana Josephine ana uwezo wa kunidhibiti mimi”
Jini Maimuna alizidi kuzungumza huku akiwa amejawa na huzuni kubwa sana.
“Sasa nita wauaje hao watu kwa maana sina uwezo wa kupambana sana”
“Tumia akili, kwani kuna wauaji wangapi wenye uwezo wa kufanya mauaji kwa watu na wakalipwa. Pesa ipo una taka nini cha ziada”
“Mmmm!!”
“Ndio fanya hivyo una siku saba na hatuto onana kwenye hizo siku saba hadi pale utakapo kamilisha hilo jambo kwa maana sasa hivi Josephine yupo kwenye maombi ya kuniangamiza na nikiangamizwa nina rudi gerezani”
“Gerezani wapi?”
“Kuzimu, na sinto kuwa na uwezo wa kuweza kutoka kabisa. Kwaheri”
Jini Maimuna akapotea ndani ya gari hilo la Evans na kumuacha akiwa katika wasiwasi mkubwa sana kwa maana huyo jini ndio tegemezi lake na fujo na jeuri aliyo nayo ni kutokana na jini Maimuna. Evans akasimamisha gari lake kwenye moja ya dula ambalo mtaa wake ume salimika kwa milipuko ya mabomu. Akanunua soda moja na kuanza kunywa taratibu huku akitazama watu wanao katiza katiza kwenye mtaa huo.
“Hawa jamaa ni washenzi sana”
Muuza duka ambaye ana asili ya kichaga alianza kuzungumza na kumfanya Evans kutazama kama ni yeye ndio anye ongeleshwa au laa.
“Una zungumza na mimi?”
“Ndio kaka, hawa jamaa walio jilipua kwa kweli wame tuangamizia Watanzania wezetu wengi sana”
“Ndio hivyo ndugu yangu, kila unapo pita ni misiba mfululizo, watu wana lia kwa kupoteza ndugu zoa”
“Nina sikia kwamba ni hapa hapa Dar ndio wame shambuli?”
“Yaa kwa maana nime toka mkoa wa Morogoro, ila hawajashambulia”
“Daaa sijui itakuwaje kwa kweli”
“Hatuna la kufanya zaidi ya kumuomba Mungu atupe nguvu za kusonga mbele”
“Ni kweli kaka”
“Shukrani kwa soda”
Evans akairudisha chupa hiyo ya soda kisha akaingia kwenye gari lake na kuondoka. Akatafuta hoteli ambayo imesalimia, katikati ya jiji la Dar es Salaam na akafanikiwa kuipata. Akalipia chumba kimoja na kuingia ndani na kuanza kufikiria mpango wa kuwaua watu hao watono alio pewa kazi ya kuwaau na jini Maimuna.
***
“Jery na mke wake hawajarudi?”
Bwana Madenge Jr alimuuliza mmoja wawalinzi wake.
“Ndio muheshimiwa”
“Huyu mtoto amechananganyikiwa kweli?”
“Ana haki ya kuchanganyikiwa muheshimiwa kufikwa na mama yake na kupotea kwa baba yake ni pigo moja kubwa sana”
Mlinzi huyo alizungumza huku wakitazama bustani kubwa ya maua iliyopo eneo hilo la ikulu. Ujume mfupi wa meseji ukaingia kwenye simu ya bwana Madenge, akaitoa simu yake mfukoni na jambo la kumshangaza ujumbe huo ume toka kwa namba isoyo onekana(private number).
‘Zawadi ya kichwa ume ipata kuna zawadi yako nyingine ninayo’
Bwana Madenge Jr akajikuta akianza kutetemeka mwili mzima kwa wasiwasi kwa maana hajui ni nani aliye tuma ujumbe huo. Ikaingia ujumbe mwengine kwa njia ya whatsApp, ujumbe huo ni wa sauti akamtazama mlinzi huyo ambaye sio mtu anaye fahamu siri zake. Akasogea umbali kidogo na kuufungua ujumbe huo. Akaanza kusikiliza mahojiano ya kijana wake akuhojiwa na sauti ya ajabu kidogo ambayo hajawahi kuisikia kwenye maisha yake. Kijana wake ambaye kwa sasa ni marehemu alijikuta akitoa siri zote za mpango wa kumuua raisi Mtenzi.
‘Mungu wangu’
Bwana Madenge alizungumza huku mwili mzima ukimtetemeka kwa wasiwasi, hakujua mtu huyo ni nani. Ukaingia ujumbe mwengine wa maandishi.
‘Kabla sijauachia ujumbe huu kwenye vyombo vya habari nina hitaji kuonana na wewe. Nitakuambia siku na saa ya wapi mimi na wewe tuonane na endapo uta mjulisha mtu yoyote siri yako ita zidi kuvuja’
Bwana Madenge Jr akahisi kama moyo wake una kwenda kupasuka kwa maumivu makali, hakutarajia kama siri yake ime julikana kirahisi hivyo.
***
RPC Karata mara ya kumpa vitisho hivyo makamu wa raisi, akashuka kwenye gari lake, kabla hajaminya kitufe cha kengele mlangoni mwa nyumba ya Magreth. Magreth akafungua geti dogo na akatoka.
“Nilikuona kaka”
Magreth alizungumza huku akionyesha kamera zilizopo hapo getini kwake.
“Ahaa sawa sawa. Tuna weza kuzungumzia hata hapa nje”
“Sawa”
Wakaingia kwenye gari la RPC Karata.
“Leo huja tembea na mlinzi wako?”
“Nime mpa ruhusa ya kwenda kumzika shemeji yake kwani naye ame farika kwenye milipuko hii”
“Aisee mpe pole sana”
“Nashukuru. Ehee niambie Jery na mke wake walisemaje?”
Magreth akamuadiasia RPC Karata kila kitu alicho fanya na Jery pamoja na Julieth.
“Nina imani watakuwa na mpango juu ya kufanya jambo kwa makamu wa raisi?”
“Hata mimi nina hisi hivyo kaka”
“Sasa nime mpatia vitisho makamu wa raisi. Nina hitaji kuonana naye ila sija muambia muda wa yeye kukutana nami. Je una shauri nini?”
“Kama ni hivyo huo ndio wa kati wa sisi kumuua. Wewe panga ni wapi tuna kutana naye mimi nita ifanya hiyo kazi ya kumuua na siku hiyo nina kuhakikishia kwamba hato pona hata akija na askari mia moja ni lazima nimuue tu”
Magreth alizungumza kwa kujiamini na kumfanya RPC Karata kwani hata yeye akilini mwake ana waza kumuangamiza makamu wa raisi ambaye ana endelea kuiwinda roho ya raisi Mtenzi ambaye hadi sasa hivi hali yake ni mbaya na hajulikani kama ata pona au atakufa.
ITAENDELEA
Haya sasa, mipango ya kumuua makamu wa raisi ina zidi kuongezeka je wata fananikiwa kumuua ikiwa Evans naye ana mpango wa kuwaa Magreth na wezake? Usikose sehemu ya 133.