SIN 145
Muandishi…………………………………………….EDDAZARIA G.MSULWA(G.Authour)
Age ……………………………………………………18+
Simu………………………………………………… 0657072588(whatsapp) au 0768516188
ILIPOISHIA
Mapigo ya moyo yakazidi kumuenda kasi mara baada ya kumuona Juma akifungua geti hilo, hakuweza kusikia walicho kuwa wana kizungumza ila akahisi moyo ukimlipuka mara baada ya kushuhudia Juma akipigwa risasi ya kichwa jambo lililo mfanya mwili mzima kumuisha nguvu. Akamtazama Josephine aliye lalala kwenye sofa jengine huku akiwa amevalia headphone masikoni mwake, akamuonea huruma sana kwa maana hajui ata jisikiaje pale atakapo pata habari kwamba mwanaume anaye mpenda amefariki duniani.
ENDELEA
Josephine kwa haraka akakurupuka kwenye sofa alilo lala, akakaa kitako na kuvua headphone zake.
“Mage”
“Mmmmm”
Magreth aliitikia huku akijaribu kuficha majonzi yake.
“Hivi Juma una hisi ni mwanaume sahihi wa kunia?”
Swali la Joseohine likamfanya Magreth kubaki na mshangao huku akikosa cha kuzungumza.
“Aha….kwa….kwa nini una uliza?”
“Kwa sababu wewe una mfahamu na kumjua vizuri”
Magreth akazima kabisa simu yake na kuirudisha ndani ya begi lake.
“Mage upo sawa?”
“Yaa nipo sawa”
Magreth alizungumza huku akijilaza kiunyonge kwenye sofa hilo.
“Hapana Mage nina kufahamu haupo sawa”
Josephine alizungumza huku akimfwata Magret sehemu alipo lala, akamshika eneo la shingoni mwake na kukutaa akiwa na joto kali sana.
“Mungu wangu. Mage una umwa wewe”
“Nipo sawa Jose”
“Hapana una umwa, hii homa uliyo kuwa nayo ni kali sana ngoja nikakutafutie dawa, huwezi kulala hivyo”
Josephine akatoka ndani hapo na kumfanya Magreth kuanza kulia kwa uchungu sana.
“No siwezi kukaa hapa”
Magreth alizungumza akisimamam, akavaa mgongoni begi lake hilo, akavaa na kiatu vyake na kuelekea mlangoni, kitendo cha kushika kitasa mlango ukafunguliwa na Josephine akaingia huku akiwa ameongozana na daktari wa ikuku.
“Mage una kwenda wapi?”
“Jose nakuomba nika shuhulikie jambo moja muhimu sana”
“Hapana bwana, hembu acha kwanza daktari akutazame, dokta hembu muangalie rafiki yangu ana onekana ana umwa kabisa huyu”
Josephine alizungumza huku akimshika mkono Magreth na akamlazimisha kurudi ndani hapo.
“Mage natambua kwamba matukio uliyo yafanya leo kidogo yana kuweka katika wakati mgumu. Hembu tulia kwanza dokta akuhudumie ili afya yako iwe sawa”
“Nina hitaji kuonana na raisi sasa hivi”
“Mage sasa hivi ni usiku nina hisi kwamba raisi ata kuwa ame lala”
“Jose wewe si una kwenda kuwa chief staff. Nisaidie nimuone raisi sasa hivi, la sivyo sinto kubali kuhudumiwa”
Dokta akastuka mara baada ya kusikIa kwamba binti huyo ana kuwa chief staff.
“Sawa nina kwenda kumuia raisi, ia dokta muhudumie”
“Sawa muheshimiwa”
Dokta alizungumza kwa heshima, kisha Josephine akatoka ndani hapo. Dokta akaanza kumpima Magreth joto lake.
“Una homa kali, nita kupa vidonge tu vya kushusha joto kama hadi asubuhi hali ita kuwa sio nzuri basi tuta fanya vipimo vingine zaidi”
“Sawa, nipatie tu hiyo dawa”
“Ipo kule kwenye hospitali ya ikulu, kama huto jali tuna weza kuongozana na kwenda kuichukua.”
“No kaniletee”
Dokta akamtazama Magreth jinsi anavyo zungumza kwa msisiztizo kisha akatoka ndani hapo. Raisi Mtenzi na Josephine wakaingia ofisini hapo huku raisi akionekana kuwa na wasiwasi.
“Vipi hali yako, dokta amekupatia matibabu?”
Raisi Mtenzi alihoji huku akiwa amejawa na wasiwasi mwingi sana.
“Dokta ame kwenda kunichukulia dawa, ni homa ya kawaida tu”
“Ohoo asante Mungu”
“Muheshimiwa nina hitaji tuzungumze mimi na wewe”
“Hapa”
“Hapana ofisini kwako”
“Basi twende”
Magreth akafungua begi lake na kutoa simu yake.
“Jose dokta akija muambie anifwate ofisini kwa raisi”
“Sawa ila kuwa makini”
“Pao”
Wakatoka ndani hapo kwa bahati nzuri wakakutana na daktari kwenye kordo. Dokta akampatia Magreth dawa hizo pamoja na chupa ya maji ya kunywa.
“Meza vidonge viwili kutwa mara mbili”
“Sawa”
Raisi Mtenzi na Magreth wakaingia kwenye ofisi, Magreth akameza vidonge hivyo kisha akawasha simu yake.
“Kuna nini Mage nime stuka snaa kusikia kwamba una umwa”
“Siumwi kama Josephine anavyo fikiria, nina imani kwamba endapo Josephine ataipata habari hii ana weza kuuwa zaidi ya jinsi ninavyo umwa kichwa”
“Habari! Habari gani?”
Magreth akaiweka video hiyo ya mauaji ya Juma kisha akamkabidhi raisi Mtenzi simu yake. Raisi Mtenzi akaanza
kutazama video hiyo na kumfanya astuke kidogo kwa maana kijana huyo ana mtambua.
“Mungu wangu!! Huyu si yule kijana wako?”
“Ndio ni yeye na hiyo video ni ya usiku huu na imerekodiwa majira ya saa sita usiku na cctv kamera za pale nyumbani kwangu. Mbaya ni kwamba huyu ni mwanaume ambaye ame uteka sana moyo wa Josephine na endapo ata tambua kwamba ame kufa, hata hiyo nafasi yako ambayo una taka kumpatia hapo kesho hato kubaliana nayo”
Raisi Mtenzi akashusha pumzi huku akikaa kwenye kiti chake.
“Sasa ime kuwaje ame uwawa, tatizo ni nini?”
“Huyu mtu anavyo onekana hakuja hapo kwa ajili ya Juma. Alikuja nyumbani hapo kwa ajili yangu na Josephine”
“Masikini wa watu, kijana wa watu ame fariki akiwa bado mdogo sana”
“Ndio hivyo muheshimiwa ninacho kihitaji mimi ni kuanza kudili na hawa watu”
“Una wafahamu?”
“Siwafahamu, ila nina kuomba unipe msaada wa vijana wako wa mambo ya mtandao wahakikishe kwamba wana nitafutia details za huyu mtu usiku huu huu”
Magreth alizungumza kwa msisitizo huku akimtazama raisi Mtenzi usoni mwake.
“Sawa nita fanya hivyo. Acha niwasiliane na askari waweze kufika eneo la tukio”
“Sawa”
Raisi Mtenzi akampigia simu RPC Karata na kumuagiza aweze kwenda kwenye nyumbani kwa Magreth.
“Twende kwenye chumba cha mawasiliano”
Raisi Mtenzi na Magreth wakatoka ndani hapo, Wakaingia kwenye chumba hicho chenye wafanyakazi zaidi ya hamsini ambao wana fanya kazi usiku na mchana.
“Hii ni eneo ambalo oparesheni zote za kiusalama zina endeshewa hapa”
Raisi Mtenzi alizungumza huku akimtazam Magreth usoni mwake.
“Sawa sawa muheshimiwa”
Raisi Mtenzi akamkabidhi kijana mmoja simu ya Magreth na akaihamisha video hiyo.
“Si muna weza kuzipata detail zake?”
“Ndio muheshimiwa dakika moja”
Kijana huyo akaanza kuminya minya keybord ya computer kwa kasi, ndani ya sekunde kadhaa akapata taarifa za mtu huyo.
“Ana itwa Zuma Zuma. Ni mlinzi wa karibu wa binti huyu anaitwa Baby Al”
Kijana huyo alizungumza huku akimtazama raisi Mtenzi pamoja na Magreth usoni mwake.
“Mwaka 2003 hadi 2009 alikuwa ni komandoo wa nchi ya Ufaransa, baada ya kuacha kazi detail zake hakuanzia hapo zinaonyesha ni kwamba alisha fanya kazi katika kitengo cha Interpol kwa miaka miaka miwili na baada ya hapo akaanza kumlinda huyo binti anaye itwa Baby Al.
“Huyo Baby Al ni nani?”
Magreth aliuliza.
“Ngoja kwanza”
Kijana huyo akatafuta taarifa za Baby Al na akafanikiwa kuzipata.
“Baby Al, jina lake halisi ana itwa Chariry Griziman ni raia wa Ufaransa. Pia ni mfanya biashara wa mafuta na baba yake ni mmoja wa matajiri wakubwa na waziri mkuu wa Ufaransa bwana Griziman Laurance.”
“Sasa ni kwa nini mlinzi wake ana tuwinda sisi?”
Magreth aliuliza huku akiwa amejawa na mshangao mkubwa sana usoni mwake.
“Ngoja kwanza”
Kijana huyo alizungumza na kuendelea kutafuta sana. Akapata picha moja ya siri ya Baby Al akiwa amepiga na kiongozi wa kundi la Al-Shabab.
“Mkuu huyu binti kwa namna moja ama nyingine anafanya kazi na kundi hilo la Al-Shabab.”
Kijana huyo alizungumza huku akiikuza picha hiyo kwenye computer yake yeye kioo kikubwa cha inch 32.
“Shiti ina bidi tudili na huyo mwanamke”
Raisi Mtenzi alizungumza kwa msisitizo.
“Masaa arobaini na nane yaliyo pita alikuwa Zanzibar na meli yake ya mizigo na amekaa nchini Tanzania kwa miezi miwili”
“Mungu wangu uta kuta ame weza kuendesha zoezi zima la milipuko ya jiji la Dar es Salaam?”
Raisi Mtenzi alizungumza huku akiwa akiitazama video hiyo.
“Nina hisi hivyo muheshimiwa. Ngoja kwanza mkuu”
Kijana huyo alizungumza huku akiendelea kufukunua taarifa za siri za Baby Al. Kijana huyo akaonyesha picha za cctv kamera zilizopo katika eneo la maegesho ya magari ya bandari ya Zanzibar.
“Huyu mpumbavu ndio muhisika”
Magreth alizungumza kwa hasira mara baada ya kumuona Baby Al akiwa ameshikama mkono na Evans.
“Una maanga gani kwamba huyu ni muhisika?”
Raisi Mtenzi auliuliza huku akimtazama Magreth usoni mwake.
“Josephine aliweza kutabiri juu ya vifo vyetu mimi na yeye. Akasema kwamba Evans ameweza kuwalipa wata pesa kwa ajili ya kutuua. Sasa nina imani kwamba huyo ndio aliye pewa jukumu la kuwaua na Evans ndio aliye toa agizo hilo”
“Huyo Evans ndio nani?”
“Alikuwa X boy friend wangu”
“Sasa kwa nini ana taka kuwaua wewe na Josephine?”
“Sija fahamu”
“Ina bidi akamatwe mara moja huyo kijana ni mshenzi sana”
Raisi Mtenzi alizungumza kwa msisitizo.
“Fredy si bado wapo Zanzibar?”
“Hapana hiyo meli ilisha ondoka masaa zaidi stini sasa”
“Nina imani bado ita kuwa kwenye ukanda wa Tanzania?”
“Sina uhakika muheshimiwa”
“Hembu jaribu kuitafuta kwa kutumia satelaite”
“Sawa muheshimiwa”
Fredy akaendelea kuitafuta meli ihyo ili kuhakikisha kwamba kama bado ipo kwenye ukanda wa nchi Tanzania basi waweze kuizuia na kuhakikisha kwamba wana wakamata waalifu wote.
***
“Kazi yako ina kwenda kukamilika hivi karibuni”
Baby Al alizungumza huku akimtazama Evans aliye kaa kwenye moya kiti huku mikono na miguu yake ikiwa ime fungwa pingu pamoja na minyororo.
“Sawa, ila samahani Baby Al, mimi sio mfungwa na wala sio mtu mbaya kwako sasa kwa nini una nichukulia kama muhalifu”
Baby Al akatabasamu kisha taratibu akanyanyuka huku akivuta sigarate yake. Akamsogelea Evans sehemu alipo kaa na kumtazama kwa macho ya kumchunguza. Akavuta fumba kubwa la moshi kisha taratihbu akampulizia Evans usoni mwake na kumfanya aanze kukohoa.
“Hahaaa hukuwahi kuvuta kiti kama hichi”
“Ha…aha…hapana”
Baby Al akavuta tena moshi mkubwa kisha akamzisogelea lipsi za Evans na kuzikutanisha na lipsi zake, taratibu akaanza kuusukumizia moshi huyo wa sigara mdomoni mwa Evans na kumfanya azidi kuchachawa kwa maana toka kuzaliwa kwake hakuwahi kuvuta sigara.
“Uta niua”
Evans alizungumza kwa shida huku macho yake yakizidi kuwa mekundu. Baby Al akaushusha mkono wake wa kulia kwenye pamaja ya Evans na taratibu akausogeza hadi kwenye jogoo wake. Akaanza kuupapasa taratibu na kumfanya Evansa aanze kujawa na hisia kali za mapenzi. Mtomaso huyo wa Baby Al, ukamfanya Jogoo wa Evans kusimama kama msubari. Baby Al, akafungua zipi ya suruali hiyo ya Evans na kumtoa jogoo huyo.
“Woooo Watanzania mume barikiwa mashine”
Evans akakosa cha kuzungumza zaidi ya kukaa kimya. Baby Al akaanza kumchua taratibu jogoo huyo na kumfanya Evans kuhisi raha sana, kiasi cha kumfanya afumbe macho yake. Taratibu Baby Al, akaizima sigarate yake na kuanza kumuingiza mdomoni jogoo wa Evans.
“Ohoo…aiiisiiia….iii…oooa”
Evans alilalama huku akianza kusahau shida na mateso aliyo patiwa na msichana huyo. Baby Al naye hisia za kimapenzi zikamchukua na kujikuta akisahau majukumu yake. Akavua suruali yake, kwa haraka akajipaka mate kwenye kitubua chake kisha taratibu akamkalia Evans pamajani mwake huku akisikilizia jinsi jogoo huyo aliye shiba kisawa sawa anavyo chanja mbuga ndani ya kitumbua chake. Baby Al akaaza kujihudumia huku akihakikisha kwamba ana ikata kiu yake ya kipindi kirefu kwani katika maisha yake amekuwa ni mtu wa kuto wapenda wanaume kabisa.
“Ohoo ohooaiiissiii….aiia….”
Baby Al aliendelea kujipa raha ambazo hata Evans kwa upande wake aliendelea kutoa migoni kwani mwana dada huyo japo ana asili ya kizungu ila michezo ya kukata mauno ana iweza kama Mzaramo tena wa uswahilini.
“Nifungue nikufurahishe”
Evans alizungumza na Baby Al kwa haraka akachukua funguo ya pingu na mnyororo huo na akamfungua Evans. Evans kwa haraka akambabe Baby Al na kumlaza mezani na kuendelea kumpa kichapo mithili ya mbwa dume mwenye ukame. Baby Al alizidi kuchanganyikiwa kwa maana hakuwahi kukutana na mwanaume wa shoka kama Evans, kila aina ya mapigo ya kuhakikisha ana ikuna G spot yake Evans alifanya. Kwa mara nne mfululizo Baby Al alijikute akifika kileleni pasipo hata Evans kufika.
“Ni mkao gani nikae ukojoe?”
Baby Al uzalendo ulimshinda na kujikuta akiuliza swali kwa maana kitumbua chake kina waka moto kwani si kwa mkong’oto huo anao pewa.
“Bana miguu kwa upande?
Evans alizungumza na Baby Al akatii, akaibana miguu yake na kujikunja mithili ya samaniki anaye kunjwa. Evans akaendelea kupelekea moto ulio mfanya kuhisi raha ya ajabu ambayo ndani ya muda mchache akajikuta akiwafyatua waarabu weupe ambao wote wakazama katuka kitumbua cha Baby Al.
“Haki ya Mungu sijawahi kufanywa kama hivi toka nijue mbo** ya mwanaume”
“Kweli?”
“Ndio, ume nipa kitu ambacho nilikikosa kwa wanaume nilio tembea nao.”
Baby Al alizungumza huku wote wakimwagikwa na jasho jingi.
“Usijali uta kuwa una pata haya mambo kila siku”
“Kweli?”
“Ndio”
“Hujaja kunipeleleza wewe?”
“Kwa nini nikupeleleze ikiwa nime kulipa pesa kwa ajili ya kunisaidia kuwaua watu nilio agiza wafe”
Kwa kauli hiyo ya Evans Baby Al akanza kumuamini Evans kwa maana kama engekuwa ni mpelelezi asinge lipa kiasi hicho cha pesa kwa ajili ya mtoto wa raisi kuuwawa.
“Nakupa nafasi kwenye maisha yangu. Ila endapo uta niletea upumbavu nita kuua kwa kukukata huo ubo** wako. Tume elewana Evans”
“Usijali haiwezi kutokea”
“Wewe sema kwamba haiwezi kutokea ila ikitokea nina kuhakikishia kwamba uta jutia ni kwa nini ume nifahamu”
Mlango wa chumba hicho ukagongwa na kuwafanya Evans na Baby Al kuanza kuvaa kwa haraka nguo zao kisha Baby Al akausogela mlango huo kwa ajili ya kumsikiliza huyo anaye gonga mlango.
“Mkuu samahani kuna tatizo kubwa sana una hitajika sasa hivi”
Kijana huyo aliye valia mavazi meusi huku mkononi mwake akiwa ameshika bunduki alizungumza kwa uharaka huku akionekana akiwa na wasiwasi mkubwa sana jambo lililo mfanya Baby Al na Evans anaye sikia mazungumzo hayo kustuka sana.
ITAENDELEA
Haya sasa, ni tatizo gani ambalo lime tokea kwenye meli hiyo, Je Frady ame fanikiwa kujua ni wapi meli hiyo ilipo? Usikose sehemu ya 146.