RIWAYA: Tai kwenye mzoga

Nashukuru nimemaliza hii adithi oama nilivyoahidi. Changamoto zilikuwa nyingi wakati wa kuileta hii adithi kwanza kwangu ilikuwa ni kustahimili pressure kutoka sehemu mbili ambazo ni mtunzi ma wasomaji. Mtunzi alikuwa anaiamuru nisimame kutuma nyakati zingine huku wasomaji kwa upande mwingine wakirushia hadi matusi kisa tu sijaleta hii adithi. Pia nilikuwa nimebanwa sana na kazi zangu. Nimesamehe nilipokwazwa na ninaomba mnisamehe nilipowakwaza. Natafuta muda nimalizie riwaya ya mifupa 203
 
Asante the banker ubarikiwe[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Asante sana Banker umenisaidia kupata cha kupunguza hasira niliyonayo juu ya mambo yaliyotokea Kinondoni na Siha... Hongera sana kwa Mwandishi wa kitabu... Kwa kupitia hadithi hii tuta uiwa kutafuta vitabu vyake vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…