Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa sanaNashukuru nimemaliza hii adithi oama nilivyoahidi. Changamoto zilikuwa nyingi wakati wa kuileta hii adithi kwanza kwangu ilikuwa ni kustahimili pressure kutoka sehemu mbili ambazo ni mtunzi ma wasomaji. Mtunzi alikuwa anaiamuru nisimame kutuma nyakati zingine huku wasomaji kwa upande mwingine wakirushia hadi matusi kisa tu sijaleta hii adithi. Pia nilikuwa nimebanwa sana na kazi zangu. Nimesamehe nilipokwazwa na ninaomba mnisamehe nilipowakwaza. Natafuta muda nimalizie riwaya ya mifupa 203
Ko kifupi unaomba upewe mission[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakika hadithi nzuri mpaka navyotembea nahisi natembea kijasusi
Sentesi imeshiba balaaa“Nani aliyewakataza msiende shule?,nani aliyewazuia msishike nyadhifa za juu serikalini kama mna elimu ya kutosha?, kwa nini msiielimishe kwanza jamii yenu ili ipate hizo nyadhifa za juu mnazozitaka serikalini?. Unaoneka na ni mtu mwenye busara nyingi na mawazo ya maana lakini sivyo ulivyo. Elimu na dini zililetwa na wakoloni sasa kwa nini vitu hivi vitugawe waafrika na kutengeneza chuki isiyo na sababu miongoni mwetu?. Udini au ukabila una athari gani katika mfumo wa maisha yako?, vipi leo ungezaliwa mzungu, mwarabu au mhindi na si mhutu wala mtutsi, ungejihalalisha vipi?, hivi kwa nini sisi waafrika wengi wetu bado ni watumwa wa ki-fikra?, Utakapomuua jirani yako mtutsi wewe mhutu unayejiona upo salama utaishi kwa miaka mingapi hapa duniani?. - Patrcik Zambi