RIWAYA: Tai kwenye mzoga

Poa sana
 
Hakika hadithi nzuri mpaka navyotembea nahisi natembea kijasusi
 
Ni safi sana hii hàdithi mkubwa, umetisha mbayaaa
 
The Banker, hii ni story tu ya kutunga ama kuna kaharufu ka ukweli. Maana inanisizimua hadi kijasho na mapigo ya moyo kwenda mbio pale Luten Venus anapotekwa na kuwa kwenye mazingira magumu ya kutetea roho yake.!!
Hongera sana bro.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sentesi imeshiba balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…