RIWAYA: Tai kwenye mzoga

RIWAYA: Tai kwenye mzoga

Kisiwa cha Madagascar uliahidi kuileta mwanzo hadi mwisho ila ulipoikatisha na kudai cjui mtunzi kagoma cjui nini kiukweli nilikosa Imani sana na lengo nadhani ni kutuonjesha huku ili tukanunue kitabu, nadhani ungekuwa mkweli tu ukaongea na mtunzi mkatengeneza WhatsApp group kukawa na kiingilio flan watu wakasoma Riwaya mwanzo hadi mwisho kuliko kuwa mnatutia hamu na story zinakosa mwendelezo naAmini hata hii haitafika,ASB njema
 
Atengeneze Whatsapp Group kwakweli.maana wengine hatuwezi kuvifikia hivyo vitabu

bora tulipie kwa whatsapp
 
Kisiwa cha Madagascar uliahidi kuileta mwanzo hadi mwisho ila ulipoikatisha na kudai cjui mtunzi kagoma cjui nini kiukweli nilikosa Imani sana na lengo nadhani ni kutuonjesha huku ili tukanunue kitabu, nadhani ungekuwa mkweli tu ukaongea na mtunzi mkatengeneza WhatsApp group kukawa na kiingilio flan watu wakasoma Riwaya mwanzo hadi mwisho kuliko kuwa mnatutia hamu na story zinakosa mwendelezo naAmini hata hii haitafika,ASB njema
Naomba nikujulishe sie mimi niliyeleta hadithi ya kisiwa cha Madagascar. Tafuta huo uzi angalia nani ndiye alianzisha hiyo stori na utagundua sio mimi. Pili naomba ujue hata mimi adithi ikikatishwa naumia sana kwa alosto kama mtu yeyote yule. Naomba pia nikujuze hata hii hadithi ninayoileta humu naileta kwa ruhusa za mwandishi mwenyewe. Tatu, nahisi sio vibaya kama mwandishi akijitangaza kwa kukupa baadhi ya script ili uvutiwe ukanunue kitabu. Kuna siku aliwahi kunijibu "kazi yangu sio kufurahisha wasomaji wa bure mitandaoni bali kazi yangu ni kutunga adithi nzuri ili niuze vitabu. Naishi kwa kuuza vitabu" mwisho wa kunukuu. Pia alisema haamini saaana kuuza kwa whatsapp kwani watu wanatabia ya kutumiana na kuna wengine wanachapisha kabisa story ya mtu. Nahisi nimeeleweka. Hata hii story mnapata kwa hisani ya mtunzi kuwa niwapostie.
 
Back
Top Bottom