Riwaya Ya Pete

ngumbuke

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
495
Reaction score
527
Habari wanajamvi!
Nakumbuka mwishoni mwa miaka ya 80, nilibahatika kusoma riwaya moja ikijulikana kwa jina la PETE. Nahisi ni riwaya ya kimkondo wa Kifalsafa.
Ninachokumbuka kwa haraka ni kuwa riwaya hii ilimuhusu kijana mmoja mcha Mungu hivi aliyeamua kuoa kinyume na matarajio yake.
Naomba nisaidiwe namna ya kuipata kutoka kwa yeyote anayeijua riwaya hii ya Kifalsafa.
 
Miaka ya 80 uliisoma ukiwa darasa la ngapi?
 
Pete ya Mtemi Ndabanga, ‘viboko tisini’.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…