Riyama aangua kilio "walioandaa tuzo waniombe ardhi"

Riyama aangua kilio "walioandaa tuzo waniombe ardhi"

I saw that and I was so confused like what tf is she talking about,is she the goddess of bongo movie industry? if she wasn't acting or paid she real need to seek a doc or something,she deserve an award ofcoz BT that was embarassin


Wewe dawa imeshakuingia?
 
Mzee Majuto ana vionjo vya asili kuanzia muonekano wake hadi kila kitu!
Siyo hao wengine unakuta wamejipaka ma meckups kibao, wamevaa vichupi Nguo robo tatu uchi!
Huyo wema juzi tu hapa haonesha makalio Yake dunia yote saa hizi inayajua kupitia utandawazi !
Hicho kilipaswa kuwa kigezo cha kumdisqualify ktk kufikiriwa kupewa tuzo!
Jamani tuyaenzi maadili mema yetu!
Tena ilipaswa kuwekwa wazi kuwa ilikuwa apewe Ila kuwa Hivi juzi kaonesha makalio basi imempotezea sifa ya kupewa ili kusudi iwe fundisho Kwa wengine!
Utamaduni ni jambo muhimu sana jamani!
 
wachache sana watamuelewa huyu dada. Riyama kapanic yeye kushindanishwa na mtoto mdogo kama wema sepetu alafu ashinde tuzo nyingi zaid yake
Sasa cha kuelewa hapo kipo wapi?! Sijawahi kusikia kwenye filamu Mwigizaji "mtoto" hashindanishwi" na Mwigizaji "mkubwa".

Matatizo hapa ni mawili tu:
1. Possibly Producer/Exec Producer hakumwambia kwamba filamu aliyoshiriki iliwasilishwa kwenye awards nae (Riyama) ameingia kwenye hatua ya kura!

Au inawezekana aliambiwa lakini Riyama akapuuza kwa kutarajia ataambiwa moja kwa moja na Azam! But it seems contact wa Azam ilikuwa ni ama Producers au Exec Producer waliowasilisha filamu husika.

2. Tatizo lingine ni mfumo uliotumika! Uwe Kigoli, Msichana au Kikongwe; ukisimama na mtu kama Wema na mshindi aamuliwe kwa kura; uwezekano mkubwa ni kulambishwa mchanga kwa sababu Wema ana fans base kubwa ambayo ni very loyal!

Hiyo sababu hapo juu ndiyo ilimnyima ushindi na mengine yote ni kelele tu!!
 
Ukijaribu kuangalia nje ya box unaweza kuzani pengine hiyo kamati iliyo husika na mchakato na vigezo vya utoaji tuzo pengine uadilifu wao unabaki kuwa Kwenye maswali [emoji87]
Na hii inaweza kujitokeza ktk namna mbalimbali !
Anyways let it go!
 
Tunzo zenyewe ndio kwanza zimeanza mwaka huu, badala ya kupongeza na kudhauri mapungufu wao wasanii ndio Kwanzaa wanaziponda, bongo movie yenyewe ilishajifia kitambo .....ningekuwa Tido nisingeandaa tena
 
I saw that and I was so confused like what tf is she talking about,is she the goddess of bongo movie industry? if she wasn't acting or paid she real need to seek a doc or something,she deserve an award ofcoz BT that was embarassin
Wabongo bana mkilewa gongo ni shida tupu!! andika kiswahili tuelewane!!
 
Mzigo ukiwa kwenye hali zifuatazo unavutia;
1. Suruali tight (uukute umekaa kwenye bodaboda hips au taqqo linaonekana kuubwa);
2. Dera (halafu uukute kafungia vigodoro).
**balaa linakujaga sasa mpo room baada ya kuvua hiyo Suruali tight/dera
 
Back
Top Bottom