Riziki mafungu saba: Kijana muuza kashata aliyegeuka mfanyabiashara mwenye mafanikio

Sasa mkikutana tena mwambie mkaa sio dili. Achangamke mapema maana umeme, gesi na mkaa mbadala vitamwindoa sokoni
 
Sio afisa Kipenyo kweli huyo?
 
Mkuu naomba nichangie kqa sentensi moja na uelewe. Mafanikio ni juhudi,maarifa na nidhamu! Biashara haina Limit ya mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…