Riziki mafungu saba: Kijana muuza kashata aliyegeuka mfanyabiashara mwenye mafanikio

Riziki mafungu saba: Kijana muuza kashata aliyegeuka mfanyabiashara mwenye mafanikio

"Tulipishana sana kielimu na hakuwa na hadhi ya kuwa na mimi"
Mtazamo huo umewafanya wanawake wengi kuwa single mothers.
Elimu na kipato ni muhimu kuwa navyo but visiwe kigezo kikuu cha mahusiano coz vyaweza kutafutwa na kupatikana anytime.
 
Sasa uko tayari kuolewa naye kama atakuhitaji? Akili za wanawake za ajabu sana. Unamtaka vya mwanaume siyo mwanaaume mwenyewe.
Mm Nina mchumba wangu na trh 13 naolewa 💃..
Nimeshangazwa tu na mafanikio yake Wala hakuna sehem nimeandika nataka kuolew nae
 
"Tulipishana sana kielimu na hakuwa na hadhi ya kuwa na mimi"
Mtazamo huo umewafanya wanawake wengi kuwa single mothers.
Elimu na kipato ni muhimu kuwa navyo but visiwe kigezo kikuu cha mahusiano coz vyaweza kutafutwa na kupatikana anytime.
Ngoja ikusikie mi single maza ya JF ikushushie mvua ya matusi🥲
 
Hapa unawatambia wanawake wenzio?

Ili iweje?

Kuolewa unaona ni mafanikio makubwa sana kiasi cha kutamba hivi?

Mbona naona binti ambaye bado hajajitambua sawasawa; na kuijua thamani yake? Am I wrong?

Anyway. Ndoa zina changamoto zake; na angalia sana tambo hizi zisije kugeuka shubiri na majuto. Ingia huko ukiwa open minded kwamba unaingia kwenye mapambano.

Naomba ukawe na ndoa njema na iliyobarikiwa...
Naolewaaaaaaaa💃💃💃
Kuolewa ni mafanikiooooo
Ko unataka niwe single maza???
 
Kuna kijana alihamia kitaa akiwa anatokea kijijini akiwa hana lolote, huyu kijana sasahivi ni billionaires.

Usimdharau muuza genge wala msukuma toroli kuna siku anaweza kuwa mtu mwenye thamani na akampa ajira mwenye Degree au PHD.
Mbona sisi tunaamia hivo hivo ila tunakula za uso jameni...

Mwaka huu sijui..
Hivi mpaka unaona mtu analoga nyie msilaumu
 
Iwe kheri kwako.
Japo jambo zuri na lenye kheri nyingi huwa haliwi na kelele nyingi. Hiyo ndoa ni Kanisa gani na saa ngapi nije nikuone?
Mimi nipo hapa Maweni-Kijaruba
Hahahaha 😂
Wapi nimepiga kelele??
Mm n muislamu
 
Lugha ya picha hiyo hukusoma Kiswahili sekondari? Maana yake ni kugangamala,kukaza mwanzo mwisho au kupindua meza kibabe au kufukuzia kombe mchana usiku.
Sawa,,, kiswahili nilipata D
 
Back
Top Bottom