Rizwani afungua kampuni yakukodi magari Arusha amtumia M/kit UVCCM Arusha mjini?

Rizwani afungua kampuni yakukodi magari Arusha amtumia M/kit UVCCM Arusha mjini?

Kampuni inaitajwe, sehemu gania AR, ina nini: magari, baloons, ndege etc ili tohoji.
 
Kampuni inaitajwe, sehemu gania AR, ina nini: magari, baloons, ndege etc ili tuhoji.
 
Kuna ubaya gani kufungua kampuni! au harusiwi kisheria?
 
Alisema anamilki Carina hiyo mihela ya Kampuni katoa wapi Kama mahesabu ya siku ni kikwazo kwetu???
 
huyu mbwa si alisema yeye ni mbangaizaji wa mjini??????mwanasheria takataka!!!!!!!!!!!!!anghhhhhhhhhhhhh

Matusi ya nini ndugu? How true is this, mleta news atupe some evidence. Sio kazi ngumu kuandika post saying " Ridhiwani kanunua jet" without any evidence. Tujadili habari sio tetesi.
 
Hii habari imekaa kiudaku udaku! Haina source wala maelezo yoyote. Haya ni majungu! Watu na akili zetu hatuwezi kuchangia chochote kwenye hii thread maana ina hang kama parachichi kwenye mti
 
Kwani yeye ni wa kwanza kufungua kampuni kama hiyo hapo arusha?
na wewe Davutwa ? Mbona huna hata uwezo wa kufikiri ? Umesahau huyu mtoto alidanganya kuwa anamiliki Toyota Camry ? Fikiri kwakichwa timamu.
 
huyu mbwa si alisema yeye ni mbangaizaji wa mjini??????mwanasheria takataka!!!!!!!!!!!!!anghhhhhhhhhhhhh

Ndugu zangu wana JF hebu tuache kuwa biased kwenye comments zetu...kwanini tunakuwa wepesi kushadadia threads za umbea ambazo hazina kichwa wala miguu? mtu kasema tu juu juu bila ushahidi wowote na watu mnakuja juu kumtusi Riz1.
plz lets be rational
 
Hakuna m2 anayehutaka umasikini, cha msingi nikutazama nin 2fanye kujenga taifa letu na c kutafuta mchawi nani.'hii nchi cyo ya chama n ya wanachi wote.
 
Hii habari imekaa kiudaku udaku! Haina source wala maelezo yoyote. Haya ni majungu! Watu na akili zetu hatuwezi kuchangia chochote kwenye hii thread maana ina hang kama parachichi kwenye mti

pamoja sana mkuu
 
Jamani huyu mtoto anatoa wapi mijihela nisaidieni jibu wana jf

Ndugu yangu Peter Muzo,

Riz ni mtoto wa Mh. Rais, period. Siyo kama wewe na mimi. Jina la baba yake tu ni mtaji mkubwa maana linakopesheka.

Ukweli, kwa mtoto wa Rais kuwa na fedha si ajabu labda kama siyo mjasiriamali kwa sababu ana opportunities nyingi.

Kama hatumii fedha za walipa kodi, muache tu atafute maisha.....ni wakati wake!

Mimi na wewe tulie tu, kwa sababu wote hatuwezi kuwa watoto wa Mh. Rais!
 
Nao hao watoto wako hapo unawajali kweli?
 
Back
Top Bottom