peter muzo
Member
- May 25, 2011
- 14
- 1
Jamani huyu mtoto anatoa wapi mijihela nisaidieni jibu wana jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani huyu mtoto anatoa wapi mijihela nisaidieni jibu wana jf
huyu mbwa si alisema yeye ni mbangaizaji wa mjini??????mwanasheria takataka!!!!!!!!!!!!!anghhhhhhhhhhhhh
na wewe Davutwa ? Mbona huna hata uwezo wa kufikiri ? Umesahau huyu mtoto alidanganya kuwa anamiliki Toyota Camry ? Fikiri kwakichwa timamu.Kwani yeye ni wa kwanza kufungua kampuni kama hiyo hapo arusha?
huyu mbwa si alisema yeye ni mbangaizaji wa mjini??????mwanasheria takataka!!!!!!!!!!!!!anghhhhhhhhhhhhh
Hii habari imekaa kiudaku udaku! Haina source wala maelezo yoyote. Haya ni majungu! Watu na akili zetu hatuwezi kuchangia chochote kwenye hii thread maana ina hang kama parachichi kwenye mti
Jamani huyu mtoto anatoa wapi mijihela nisaidieni jibu wana jf
na wewe Davutwa ? Mbona huna hata uwezo wa kufikiri ? Umesahau huyu mtoto alidanganya kuwa anamiliki Toyota Camry ? Fikiri kwakichwa timamu.
huyu mbwa si alisema yeye ni mbangaizaji wa mjini??????mwanasheria takataka!!!!!!!!!!!!!anghhhhhhhhhhhhh
Fisadi tu huyu hivi mahakamani anaenda lini?
Nao hao watoto wako hapo unawajali kweli?Ndugu yangu Peter Muzo,
Riz ni mtoto wa Mh. Rais, period. Siyo kama wewe na mimi. Jina la baba yake tu ni mtaji mkubwa maana linakopesheka.
Ukweli, kwa mtoto wa Rais kuwa na fedha si ajabu labda kama siyo mjasiriamali kwa sababu ana opportunities nyingi.
Kama hatumii fedha za walipa kodi, muache tu atafute maisha.....ni wakati wake!
Mimi na wewe tulie tu, kwa sababu wote hatuwezi kuwa watoto wa Mh. Rais!