Jamani huyu mtoto anatoa wapi mijihela nisaidieni jibu wana jf
<br />huyu mbwa si alisema yeye ni mbangaizaji wa mjini??????mwanasheria takataka!!!!!!!!!!!!!anghhhhhhhhhhhhh
hacha kutetea wezindugu zangu wana jf hebu tuache kuwa biased kwenye comments zetu...kwanini tunakuwa wepesi kushadadia threads za umbea ambazo hazina kichwa wala miguu? Mtu kasema tu juu juu bila ushahidi wowote na watu mnakuja juu kumtusi riz1.
Plz lets be rational
<br />wiki ijayo.. haya tuendelee na thread mkuu
unawiv wa kike mwambie babako awenae rais<br />
<br />