Rizwani afungua kampuni yakukodi magari Arusha amtumia M/kit UVCCM Arusha mjini?

Rizwani afungua kampuni yakukodi magari Arusha amtumia M/kit UVCCM Arusha mjini?

ndugu zangu wana jf hebu tuache kuwa biased kwenye comments zetu...kwanini tunakuwa wepesi kushadadia threads za umbea ambazo hazina kichwa wala miguu? Mtu kasema tu juu juu bila ushahidi wowote na watu mnakuja juu kumtusi riz1.
Plz lets be rational
hacha kutetea wezi
 
Acheni wivu wa kike sasa Riz 1 asifanye shughuli za kujipatia kipato? Majungu kila wakati acheni dogo atafute maisha
 
unawiv wa kike mwambie babako awenae rais<br />
<br />

kuna mtu kauliza ridhiwani anaenda lini mahakamani, nimemjibu wiki ijayo na kusema tuendelee na thread.
sasa wewe unasema nina wivu wa kike au umekosea kumquote uliyetaka kumquote au unataka uchezee mtarimbo wangu tu ?? mwambie baba yako wewe agombee urais na babu yako makamu wake shwaini wee
 
Kwa mtiririko huu, zitajaa thread za tetesi ambazo kwa lugha rahisi ni za umbeya (gossip). Km JF hatutaka kubadilika na kuandika vitu vya kueleweka vyenye maana na ushahidi, muda si mrefu tutaitwa watu wenye kubwabwaja maneno na wazushi.
 
Huyu dogo si alisema anaishi ki-mishen town? Au kesha EPA mahali?
 
jf bana, riz 1 akifanya siasa vibaya, akifanya biashara (kama ni kweli) vibaya; sasa mnataka aishi vipi? aishi kwa pensheni?
tuwekeeni vigezo vinavyombana kisheria kama haruhusiwi kukopa benki, kufanya biashara, siasa, kusoma, kuwa na demu mkali n.k.
au raha yenu kuona anapigika mtaani na kuwa ombaomba!!!!!??????????
 
Kuna msemo wa kiingereza unasema Simple minds discuss about people,ordinary minds discuss about events but great minds(thinkers) discuss about ideas.THEN,check yourself where do you belong. Sioni kibaya kwa Riz kuwa na kampuni yake. Yeye ni mwananchi kama wewe,ana familia ya mke na mtoto ambayo anatakiwa aitunze kwa gharana zote. Tunatakiwa tuanze kuhoji pale tutapoona anachanganya maslahi ya nchi na maslahi yake binafsi. Kuwa kiongozi si maana yake uwe maskini hapa duniani jamani. Ndio maana anafanya kazi ya kuajiliwa pale IMMA ADVOCATES. Tukiwa na ushahidi wa public funds zinavyopelewa kwenye familia yake na tuutoe hapa jamvini kama hatuna tunyamaze mpaka tutakapoupata. Kuna wakati niliwahi kuambiwa Peakcock Hotel ni ya mmoja wa marais wetu wastaafu. Nilipochunguza niligundua ni ya mhehe mmoja wa Iringa na ameiendeleza kwa kujibanabana na kuwa full comitted to business.Ndio maana ya Great thinkers!. Huwa hawaropoki bila kuwa na ushahidi makini.
 
Back
Top Bottom