Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
Bora hao soda ikibaki ngedere watakunywa wapo wanaokojoa kwenye chupa hizo na kuzitupa nje na mikojo, mbaya inakuja pale magari yanapishana na moja likaikanyaga hiyo chupa kama hujafunga kioo au uko kwa miguu basi utarukiwa na hiyo mikojo yote#Roadlife. Tuikemee vikali tabia ya baadhi ya madereva na hasa wa malori ya kunywa juice au soda halafu hawamalizii kisha kutupa hizo chupa zikiwa na juice au soda ndani yake,hii tabia si nzuri hata kidogo (D2t)
@BRAZA CHOGO @Tumwesige senior
π πKwa sisi tunaofanya kazi ya kuokota makopo tunapata tabu sana unakutana na kopo limejaa mbolea!
Mtuombee!
Mkuu nakufungulia code zoom iyo chupa alafu uje unipe jibu ππBora hao wanaoacha juice,wengine wanakojoamo alafu wanatupa
Iyo chupa yenyewe umeiona mkuu lakini π πBora hao soda ikibaki ngedere watakunywa wapo wanaokojoa kwenye chupa hizo na kuzitupa nje na mikojo, mbaya inakuja pale magari yanapishana na moja likaikanyaga hiyo chupa kama hujafunga kioo au uko kwa miguu basi utarukiwa na hiyo mikojo yote
Bora iwe mbolea ya asiri, kuliko mbolea iliyotokana na fyoko fyokoo.. Hadi ikatokaKwa sisi tunaofanya kazi ya kuokota makopo tunapata tabu sana unakutana na kopo limejaa mbolea!
Mtuombee!
Mkuu nakufungulia code zoom iyo chupa alafu uje unipe jibu