Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 618
- 1,440
#Roadlife. Tuikemee vikali tabia ya baadhi ya madereva na hasa wa malori ya kunywa juice au soda halafu hawamalizii kisha kutupa hizo chupa zikiwa na juice au soda ndani yake,hii tabia si nzuri hata kidogo (D2t)
BRAZA CHOGO Tumwesige senior
BRAZA CHOGO Tumwesige senior