Roast ya maini

Roast ya maini

Maandalizi /mahitaji

Maini nusu kilo

Nyanya moja kubwa

Karoti moja kubwa kiasi

Pilipili hoho moja kubwa

Kitunguu kimoja

Mafuta ya kupikia

Glass moja ya red wine na chumvi

chukua nusu kilo ya maini kata vipande vidogo vidogo , safisha vizuri katakata viungo vyote nilivyotaja hapo juu chemsha karoti yako peke yake kwa dk 5,
chukua frying pan yako weka mafuta kiasi weka motoni mafuta yachemke mpaka yatoe moshi wa kijani ,weka kitunguu halafu nyanya na hoho kisha karoti viache vichemke kwa dk 5 kisha weka maini chumvi kiasi ma mwishowe wine , acha vichemke kwa dk 7 hivi kisha opoa na enjoy
The other side of mshana jr
cc Jimena
 
Yummy yummy
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] asante kwa tag mkuu
1466884981476.jpg
1466885002195.jpg
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom