Phenomenon Lady
JF-Expert Member
- Nov 19, 2013
- 407
- 245
Habari zenu wakuu,naomba kuelekezwa jinsi ya kupika roast ya maini saaaaafi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maandalizi /mahitaji
Maini nusu kilo
Nyanya moja kubwa
Karoti moja kubwa kiasi
pilipili hoho moja kubwa
Kitunguu kimoja
mafuta ya kupikia
glass moja ya red wine na chumvi
chukua nusu kilo ya maini kata vipande vidogo vidogo , safisha vizuri katakata viungo vyote nilivyotaja hapo juu chemsha karoti yako peke yake kwa dk 5,
chukua frying pan yako weka mafuta kiasi weka motoni mafuta yachemke mpaka yatoe moshi wa kijani ,weka kitunguu halafu nyanya na hoho kisha karoti viache vichemke kwa dk 5 kisha weka maini chumvi kiasi ma mwishowe wine , acha vichemke kwa dk 7 hivi kisha opoa na enjoy
ni wine yoyote mkuu au red wineMaandalizi /mahitaji

Mahitaji
Maini kg 1/2
Kitunguu saumu 1/2 teaspoon
Tangawizi 1/2 teaspoon
Bizali ya pilau (cummin) 1/2 teaspoon
Pilipili manga 1/2 teaspoon
Nyanya 2 kubwa (saga na blenda kwa maji kdg sana)
Kitunguu maji 1
Limau 1
Pilipili(sio lazima)
Karot 1 ndogo
Pilipili hoho 1 ndogo
Chumvi kiasi...
Nyanya ya kopo
Namna ya kutaarisha
1)Katika sufuria safi weka maini yako safi iliosha na kukukata vipande,tia saumu,tangawizi,pilipili manga na chumvi kidogo (zingatia maini yanatabia ya kushika chumvi haraka)...funika kwa ufunikio usiwe maji acha ichemke kwa maji yake yenyewe
2)Kabla maji yake hajayayuka weka maji kidogo kidogo hadi maini yawive kabisa...
3)Katika sufuria ingine kaanga kitunguu maji kidogo tu then add hoho na karoti kaanga hadi ziwive ila visiungue...
4)Mimina nyanya yako uliosaga kaanga vizuri then weka bizari ya pilau
5)Weka nyanya ya kopo na ndimu acha ichemke iwe nzito nzito mimina na soup kidogo....
6)Add maini changanya vizuri ili rost ishikane na maini...wacha dakika 5 then epua
Enjoy rost maini
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Nitajabu, nikiweza nitakupa matokeo
Utaweza tu ni rahisi sana...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ivi kupika ni rahisi ivo?
Sana muhimu mazoezi tu ukiwa mzoefu hadi chumvi huonji na chakula kinakuwa kizuri...
Mchele ukiuona tu unajua kiwango cha maji...
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
ni wine yoyote mkuu au red wine
Mahitaji
Maini kg 1/2
Kitunguu saumu 1/2 teaspoon
Tangawizi 1/2 teaspoon
Bizali ya pilau (cummin) 1/2 teaspoon
Pilipili manga 1/2 teaspoon
Nyanya 2 kubwa (saga na blenda kwa maji kdg sana)
Kitunguu maji 1
Limau 1
Pilipili(sio lazima)
Karot 1 ndogo
Pilipili hoho 1 ndogo
Chumvi kiasi...
Nyanya ya kopo
Namna ya kutaarisha
1)Katika sufuria safi weka maini yako safi iliosha na kukukata vipande,tia saumu,tangawizi,pilipili manga na chumvi kidogo (zingatia maini yanatabia ya kushika chumvi haraka)...funika kwa ufunikio usiwe maji acha ichemke kwa maji yake yenyewe
2)Kabla maji yake hajayayuka weka maji kidogo kidogo hadi maini yawive kabisa...
3)Katika sufuria ingine kaanga kitunguu maji kidogo tu then add hoho na karoti kaanga hadi ziwive ila visiungue...
4)Mimina nyanya yako uliosaga kaanga vizuri then weka bizari ya pilau
5)Weka nyanya ya kopo na ndimu acha ichemke iwe nzito nzito mimina na soup kidogo....
6)Add maini changanya vizuri ili rost ishikane na maini...wacha dakika 5 then epua
Enjoy rost maini
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Aisee ila ntamwambia anifundishe
Swali zuri Mkuu!
Red wine the best but even white no p

Ningeshaa farkhina ...
Asingechangia...
Huwa nashiba kwa kusoma tu..