Robben & Ribery (Robbery) rasmi jana waaga Munich, Nani mwenye jeuri ya kuchagua bora kati ya hawa bila kigugumizi?

Robben & Ribery (Robbery) rasmi jana waaga Munich, Nani mwenye jeuri ya kuchagua bora kati ya hawa bila kigugumizi?

Ribery alikuwa ni moto zaidi ya Arjen Robben! Yule jamaa alikuwa anateleza kama kambale na alijaliwa vitu vingi vinavyotakiwa kwenye mpira tofauti na Robben ambaye alikuwa ni mwepesi kukabika ingawa naye kwenye mbio alikuwa si haba.

Umechemka. Naukubali uwezo wa Ribery. Lakini Robben on form ni habari nyengine kabisa.
 
Hawa vijana walikua wanawaita ROBERY ni hatari sana kwa kweli aisee
 
Back
Top Bottom