Camilo Cienfuegos JF-Expert Member Joined Apr 23, 2015 Posts 18,960 Reaction score 67,654 May 20, 2019 #21 Kuna nyakati Ribbery alipaswa kutwaa tuzo ya Ballon Dor sema tu uzandiki na fitna za fifa
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 Jun 2, 2019 #22 Ribery ni 🔥🔥🔥!
screpa JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 10,857 Reaction score 15,866 Jun 3, 2019 #23 Robben ni hatari zaidi
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Jun 3, 2019 #24 Tate Mkuu said: Ribery alikuwa ni moto zaidi ya Arjen Robben! Yule jamaa alikuwa anateleza kama kambale na alijaliwa vitu vingi vinavyotakiwa kwenye mpira tofauti na Robben ambaye alikuwa ni mwepesi kukabika ingawa naye kwenye mbio alikuwa si haba. Click to expand... Umechemka. Naukubali uwezo wa Ribery. Lakini Robben on form ni habari nyengine kabisa.
Tate Mkuu said: Ribery alikuwa ni moto zaidi ya Arjen Robben! Yule jamaa alikuwa anateleza kama kambale na alijaliwa vitu vingi vinavyotakiwa kwenye mpira tofauti na Robben ambaye alikuwa ni mwepesi kukabika ingawa naye kwenye mbio alikuwa si haba. Click to expand... Umechemka. Naukubali uwezo wa Ribery. Lakini Robben on form ni habari nyengine kabisa.
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 11,880 Reaction score 10,372 Jun 3, 2019 #25 Hawa vijana walikua wanawaita ROBERY ni hatari sana kwa kweli aisee