Robert Amsterdam afikiria kupeleka madai Jumuiya ya Madola ya kutaka Tanzania ifutwe wanachama kutokana na kunyamazia vitendo vya utekaji na mauaji .

Tuondoke tu huko.

Kwani, wanaofaidika ni Familia ya Mfalme wa Uingereza na mabeberu wenzao.
 
Ukitaka ujue chadema ni wajinga kichwan wanaeza kukurupuka kushangilia
 
Ccm wanatuchafulia jina zuri la Nchi yetu.
 
Hawa jamaa ile sentence ya kusema wasiingilie mambo yetu ya ndani iliwakera sana sana sasa naona wanachokonoa kila upande
 
Hata libya walianza hivi hivi hatimae wanachi wakaunga juhudi za kuiharibu libya yao na mpaka sasa wanajutia sana maamuzi yao
 
Kuna taarabu moja ilikuwa inasema Pembe la Ng'ombe halifichi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
"JUMUIYA YA KIMATAIFA" The International Community" kulingana na MAKUWADI WA MABEBERU............

Huu upuuzi siku si nyingi unakuja kufutiliwa mbali na BRICS

(VITISHO VYA KIJINGA VYA "KUTENGWA NA JUMUIYA YA KIMATAIFA" VINAENDA KUFA KIFO CHA KIBUDU)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…