Robert Amsterdam athibitisha kufungua mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa Tanzania ndani ya ICC jumatatu

So what?pumbavu kama hili litazani linamkomoa mtu kwa ushabiki wa siasa,huyo shoga na mwenzie hawana chao na safari hii jiwe kagonga mwiba haswa, nyie mapimbi endeleeni tu kuloloma issue ishakwisha
 
So what?pumbavu kama hili litazani linamkomoa mtu kwa ushabiki wa siasa,huyo shoga na mwenzie hawana chao na safari hii jiwe kagonga mwiba haswa, nyie mapimbi endeleeni tu kuloloma issue ishakwisha
Kaugonga kweli kweli mkuu,walie tu,hawana chao.
 
Lissu na foreign political mercenary wake ni watu wa ajabu kuliko ajabu yenyewe. Yaani utadhani ICC ni Mahakama ya Mwanzo Ikungi, Singida Mashariki![emoji28]
 
Jiwe hatishiki na hayo maandamano kwenye mahakama za nje.

Je, ushasahau ya uchaguzi wa zanzibar na marudio yake.

Na Pesa za MCC je. Badilisheni mbinu nyie chadema.

Wazungu si waafrika ,wao mambo yao huyafanya polepole lakini kwa uhakika. Ukisoma kitabu cha Jackal utawajua wazungu
 
Poapoa robaa niwakilishe mi nlienda nkapotea ofisi nkarudi zangu homu asee! jengo kubwa lile ka daslamu! au niyameshikana na Menzie dah!
 
Kama Kenya waliuwawa watu zaidi ya 500 na kesi ikafutwa hii haina mashiko.........

Ukombozi wa waTanzania upo mikononi mwa waTanzania wenyewe.......

ICC ilishapuuzwa tangu ilipotupilia mbali mashtaka ya Bush dhidi uhalifu wa kivita kule Iraq.........

Nadhani watu weusi wanabakia kuwa ni watu wavivu tangu kuumbwa kwa dunia.....
 
Nisome tena na wakati nimendika mwenyewe??
Nisome mimi au wewe usome tena??
Usitaje kunitafsiria vile unataka wewe...
Narudia Tena acha kiherehere.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukaandika kitu ukadhani kina maana unayofikiria wewe,kumbe kina maana nyingine,ndio maana kama unaandika kitu nyeti kinachokwenda mahali nyeti,unatakiwa utumie mtu mwingine kukusaidia kusoma ulichoandika!Ila kwa kizazu cha dotcom sijui bwana,ninyi mna principles zenu za kidot.com
 
Wazungu si waafrika ,wao mambo yao huyafanya polepole lakini kwa uhakika. Ukisoma kitabu cha Jackal utawajua wazungu
wazungu gani we unaongelea we nae,mbona si tunapiga nao mzigo na kuwatuma live na hawana tabu hao ushawazidi.
 
Tunastahili labda huenda tukaanza kuirudia HAKI badala ya mabavu, unyanganyi, wizi na ubabe uliopitiliza!
 
Tunastahili labda huenda tukaanza kuirudia HAKI badala ya mabavu, unyanganyi, wizi na ubabe uliopitiliza!
Bora Dunia wajue kuwa Tanzania hakuna Amani bali kuna uvumilivu tu ni Nchi yenye wavumilivu waliopitiliza
 
wazungu gani we unaongelea we nae,mbona si tunapiga nao mzigo na kuwatuma live na hawana tabu hao ushawazidi.

Kwani wewe unaongelea hao wazungu unaopiga nao mzigo kwani wao ndio waliopelekewa kesi na Amsterdam ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…