Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Soma comment yako tena,hivyo ndivyo ulivyo imply by extrapolation.Wapi nimekuambia unazuiwa??
Mbona unajistukia??
Halafu sijakuquote...acha kiherehere mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma comment yako tena,hivyo ndivyo ulivyo imply by extrapolation.Wapi nimekuambia unazuiwa??
Mbona unajistukia??
Halafu sijakuquote...acha kiherehere mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
So what?pumbavu kama hili litazani linamkomoa mtu kwa ushabiki wa siasa,huyo shoga na mwenzie hawana chao na safari hii jiwe kagonga mwiba haswa, nyie mapimbi endeleeni tu kuloloma issue ishakwishaBaada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.
Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Alie ishia kuzurura na karatasi za mashtaka kwenye corridor za ICC😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaugonga kweli kweli mkuu,walie tu,hawana chao.So what?pumbavu kama hili litazani linamkomoa mtu kwa ushabiki wa siasa,huyo shoga na mwenzie hawana chao na safari hii jiwe kagonga mwiba haswa, nyie mapimbi endeleeni tu kuloloma issue ishakwisha
Nisome tena na wakati nimendika mwenyewe??Soma comment yako tena,hivyo ndivyo ulivyo imply by extrapolation.
Siku wakimgeuka sijui atakuja na jipya gani tena [emoji38][emoji38]Alie ishia kuzurura na karatasi za mashtaka kwenye corridor za ICC[emoji3]
Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.
Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.
Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Jiwe hatishiki na hayo maandamano kwenye mahakama za nje.
Je, ushasahau ya uchaguzi wa zanzibar na marudio yake.
Na Pesa za MCC je. Badilisheni mbinu nyie chadema.
Siku wakimgeuka sijui atakuja na jipya gani tena [emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ni opportunist tu wa kutafuta kuendelea kuwa relevant.Amsterdam sio habari tena, nasikia saizi yuko busy na siasa za Museveni na Bob Wine
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Unaweza ukaandika kitu ukadhani kina maana unayofikiria wewe,kumbe kina maana nyingine,ndio maana kama unaandika kitu nyeti kinachokwenda mahali nyeti,unatakiwa utumie mtu mwingine kukusaidia kusoma ulichoandika!Ila kwa kizazu cha dotcom sijui bwana,ninyi mna principles zenu za kidot.comNisome tena na wakati nimendika mwenyewe??
Nisome mimi au wewe usome tena??
Usitaje kunitafsiria vile unataka wewe...
Narudia Tena acha kiherehere.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ukorofiNarudia Tena acha kiherehere
wazungu gani we unaongelea we nae,mbona si tunapiga nao mzigo na kuwatuma live na hawana tabu hao ushawazidi.Wazungu si waafrika ,wao mambo yao huyafanya polepole lakini kwa uhakika. Ukisoma kitabu cha Jackal utawajua wazungu
Kazi tu ni kuchukua pesa za walipa kodi kuwanunua covid 19Anamtangazia nani huyu gabachori. Aendelee na mambo yake. Hapa kazi tu
Bora Dunia wajue kuwa Tanzania hakuna Amani bali kuna uvumilivu tu ni Nchi yenye wavumilivu waliopitilizaTunastahili labda huenda tukaanza kuirudia HAKI badala ya mabavu, unyanganyi, wizi na ubabe uliopitiliza!
wazungu gani we unaongelea we nae,mbona si tunapiga nao mzigo na kuwatuma live na hawana tabu hao ushawazidi.