Robert Amsterdam athibitisha kufungua mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa Tanzania ndani ya ICC jumatatu

Mzungu hajawahi kumpenda au kuipenda Africa kutoka moyoni. Lazima ujiulize mara mbili mbili. Strings attached hapo. Aids with conditions. Siyo bure, tena mbaya zaidi. History keeps repeating it self, kama Thomas Sankara
Mzungu ndiye aliye komesha biashara ya utumwa baada ya sisi kuuzans wenyewe kwa wenyewe.
 
Kuna watu wanalazimisha kubakia relevant, si mfungue tu sasa kuna haja gani ya kututangazia kila siku ?
Huyu mchagga G Sam anatapatapa maana alijiimanisha kuwa Tototundu ataukwaa urais kirahisi na si ajabu Alimhaidi kuwa angalikuwa msemaji mkuu wa serikali
 
CDM pelekeni majina ya viti maalum bungeni,, acheni ubinafsi. Halima Mdee,m/kiti BAWACHA (T) unakwama wapi mrembo..
 
Hahaha nitasubiri mpaka nione imekuwa kweli,kwa sasa ni blah blah tu.
 
Nadhani na wao walijua fika kwamba ruzuku hawatapewa na yamkini walijiandaa kukabiliana na hali
 
Watu wanaokufa Rwanda, Butundi, Congo DRC, Congo Brazavile, Sudan n.k ni wengi kuliko Tanzania na hakuna aliyefungwa na ICC
Huko watakuwa wameridhika na hayo mauaji.Na hakuna aliyepeleka malalamiko ICC.Kwa hapa kwetu huu mwaka naona kizungu-zungu tu kwa kweli.Sijawahi kuona nchi yetu ikishupaliwa hivi.
 
Umesahau taasisi inayotetea wanawake duniani pia imefungua kesi dhidi ya serikali ya CCM.
Jamaa wanabana kila upande, huku EU, Pompeo, Bunge la Ulaya, Amnesty, CCM kazi wanayo.
 
Hakuna kinatakachotokea!!!Ni shahidi gani atajitolea kwenda huko,tumeona kilichotokea Kenya.La pili ni kuwa tunaonekana kufanya vibaya kwa kuwa haikuwa kawaida yetu kuvuruga kwa kiasi hiki lakini kuna nchi zimevuruga chaguzi mara kumi ya nchi yetu na bado zinadunda.

Rais ameshaapishwa,bunge limeshafunguliwa (tena ambalo halina najisi nyingi) na hakuna uchaguzi mwingine wala kuapishwa Raisi mwingine.Wote tulio (tulio) na maoni tofauti ni wakati wa kuvumilia na kukandamiza hisia zetu maisha yaendelee la sivyo ni kuumia kusiko na sababu (Prof J si mbunge lakini mwan FA ni mbunge).
 
CCM wana polisi, sisi wananchi tuna wazungu.
Ngoma droo!
Walitaka tuandamane watuue wanywe damu yetu. Wazungu wataandamana kwa niaba yetu, wanakata misaada, wanasitisha ARV za bure, ndipo Magufuli atapojifunza kuheshimu haki za binadamu kitu ambacho Marais wenzie waliopita walikifanya bila shuruti.
 
Wafuasi wa Chadema ni kama majuha flani hivi..

Lissu si alisema muingie barabarani na hakuna aliyeonekana. Hapa mnategemea sijui kesi ICC, vipi MIGA tulishashtakiwa??
 
Huyu Mzungu yeye ananufaika vipi na hizi kesi? Ni kwamba anatuonea huruma Watanzania!? Au ana Agenda yake ya siri?
Mku kwani wahisani wanavyosaidia nchi mbalimbali huwa wanafaidika nini.
Mfono kujenga matundu vyoo vya shule na mabarabara na misaada mingine mingi
 
CDM pelekeni majina ya viti maalum bungeni,, acheni ubinafsi. Halima Mdee,m/kiti BAWACHA (T) unakwama wapi mrembo..
Si mlimtamtafuta mbunge aliye ingia bungeni kwa hisani ya mtu wa Chato, Halima Mdee mlisema analysis vikao anachelewesha maendeleo. Sasa mnamtaja wa nini tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…