Robert Amsterdam athibitisha kufungua mashitaka ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa Tanzania ndani ya ICC jumatatu

Hata mwenyewe hajui alishindaje kwakweli. Inawezekena akawa afisa kipenyo
Mpeni ushirikiano,awakilishe wananchi wa jimbo lake bungeni... BAWACHA ni jeshi kubwa,mikutano yao huwa inatetemesha watawala,wako tayari kwa lolote kutetea utu na usawa..mifano unayo. Wapelekeni bungeni wakati mengine yakiendelea,
 
1605943286348.png
 
Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.

Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Barabarani Hamkuuingia Nyinyi na Amsterdam wenu Chaliiiiiiiiiiiiiii Nano alikuambia kupeleka mashitaka Mahakamani inakatazwa😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣🤣 Hata Joti anaweza Pelekaaa
 
Mnanyolewa kwa style nyingine kali zaidi
 
Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.

Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Naona kama wanawachelewesha vile.Sijui mimacho atamwakilisha dokta wa korosho na "ze , ze" zake?
 
Mwanasheria wa Lissu huyo na ni kampuni hio sio Mtu Binafsi, Yupo kazini hapo yani kalipwa na Sijui Lissu hela katoa wapi

Lissu Mtu wa ajabu sana
Mijitu mingine mijinga kweli.Yalijiandaa kupora haki za watu kwa kutunga sheria za kibaguzi (kuzuia watu kulinda kura,kutopewa wakala nakala za matokeo,kuruhusu wana ccm kusimamia uchaguzi,n.k), kuita watendaji wa kata Ikulu kuwalisha yamini,kuminya wapinzani kujitangaza ,kuandaa mahakama kusikiliza kesi za uchaguzi kama zile za Kisutu.Walifikiri wenzao wana akili fupi kama za polepole na bashiru na jiwe wao.

Hakuna kesi itakayofunguliwa hapa ni kuleee ili mkateseke na muonje suluba kama mnavyowafanyia wengine kwenye kangaroo courts za feleshi na biswalo.
 
Jamaa wanabana kila upande, huku EU, Pompeo, Bunge la Ulaya, Amnesty, CCM kazi wanayo.
Huoni aibu kumtaja Pompeo, nchi yake imeua maelfu ya watu Somalia, Iraq, Afghanistan, Syria, Vietnam, Korea, na Ulaya Mashariki na mpaka leo huyo Amsterdam hawezi hata kuota kutamka kuishitaki USA huko The Hague! Hivi umekaa na kujiuliza nchi ambayo imeua, inaua, na itaua maelfu kwa nini yenyewe isishtakiwe huko The Hague? Hebu nipe jibu kwa nini USA haiwajibiki kwenye hii mahakama. Kazi kushabikia tu.
 
Baada ya gwiji la sheria la kimataifa ndugu Robert Amsterdam kufanikiwa kuishawishi idara ya mambo ya nje ya Umoja wa Ulaya kuijadili Tanzania dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu na hatimaye kusubiri hatua rasmi za kinidhamu kuchukuliwa, sasa Robert amethibitisha rasmi kuwa jumatatu anaenda ICC kufungua mashitaka dhidi ya uhalifu wa binadamu nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa kanuni za ICC, endapo mashitaka yatafunguliwa basi Tanzania itahitajika kupeleka utetezi wake na kisha pande zote mbili kujadiliwa kwa kina.

Sasa mataifa mbalimbali yanaendelea kuchukua hatua dhidi ya Tanzania baada ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na uhuru kipindi cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Mbona Marekani pamoja na ukiukaji wote wa haki za mino
watu,wakiwemo weusi ndani ya Marekani na duniani kote kwa ujumla hajaipeleka ICC.Huyu katumwa na mabeberu kui-destabilize Tanzania kwa sababu ya msimamo wake dhabiti mabeberu.Ni opportunist tu huyu,anapaswa kupuuzwa.After all ICC imekosa credibility kwa kuwa imeshindwa kutetea haki za watu duniani note kama Palestrina,Yemen Syria na minorities sehemu mbali mbali duniani.
 
Mzee ICC sio Kisutu. Jiandaeni tu
ICC ni Kisutu tu,tena inawezekana ni less than Kisutu,hamna lolote,mbona wamewashindwa Marekani na Israel,halafu these two countries are not even members.Wawa-prosecute hao kwanza ndio Tanzania ifuata.

Ni mahakama gani ambayo ina lenga nchi za Kiafrika tu.After all tuliingia kwa hiari,wakileta za kuleta tunajitoa.Bensouda your hands off Tanzania please.
 
Back
Top Bottom