greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,321
- 3,956
Unazungumzia watanzania gani? We juzi ulimsikia kiongozi wenu VOA anasema kuwa Watanzania hawapo tayari!!! Na ndio iko hivyo watanzania hatuko tayari kufanya ujinga.Watanzania tuungane pamoja kwa umoja na ustawi wa taifa letu. Huu mfumo wa giza kumwabudu mwanadamu mwenzetu ni aibu kwetu sote. Rejeeni wosia wa Baba wa Taifa dhambi ya ubaguzi hakuna alie salama ,endapo PM anazodolewa hadharani!? anapanga hatima maisha ya watu!? Wengi wana mengi moyoni rejea madam VP.
Kujadiliwa nayo ni free promo?Ahsante kwa kuipigia Tanzania free pro kwamba Dkt. JPM hataki vitisho. Tutaelewana tu.
Mfano mdogo...hivi US & EU wakiamrisha yafuatayo kufanyika (wana uwezo huo, usibishe ignorantly) unaamini kutakuwa na sijui cha Stiegler's Gorge, SGR, bombardier, nk, nk?:Bunge la Ulaya, siasa za Tanzania!
Mgogoro wa uingereza kujitoa umoja wa ulaya unawatoa jasho, wataweza siasa za tanzania kweli?
Mnawapa vizuri ndo maana wanawajali, unadhani Amsterdam anahangaika na Lissu HAKUNA anachopewa? Hata Mimi sikubali mke wangu alalamike Nita deal na huyo anayemsumbua Kama anavyohangaika huyo beberu wenu.Inasikitisha sana kuona wazungu wanatujali sana yaaani hata wapinzani wanaopewa dhamana kutoka korokoroni ni kwa sababu ya kelele za wazungu
Wasting their time; wanajifurahisha na kumwibia Mr Mzungu vihela kiduchu alivyochangiwa na Watanzania wakati wa kampeniUnawapangia cha kujadili kama nani we pimbi
Sasa nani kakwambia anataka misaada yao?Good tufungiwe misaada yote na wahisani
Mbona mavitu yao hayo tulishaachana nayo kitambo tu aiseeMfano mdogo...hivi US & EU wakiamrisha yafuatayo kufanyika (wana uwezo huo, usibishe ignorantly) unaamini kutakuwa na sijui cha Stiegler's Gorge, SGR, bombardier, nk, nk?:
- No loans/grants from the West & allies
- No fuel from the West & allies
- No int'l trade with the West & allies
- Literally nothing from the West & allies!!
Sasa wewe mwenyewe ulishajizira, utajilinganishaje na mzungu.Kwa hio unalinganisha Bongo vs uingereza sio?Kwa kitu gani labda nguvu za kiuchumi,kidiplomasia,kijeshi au?
Miaka hii mitano JPM kawashinda hesabu za KikemiaKafungueni tu
Hajalinganisha kakupa mfano. Mbona unakuwa na upeo mdogo hivi!? Bunge la Ulaya lina mambo mengi ya kujadili mfano Corona etc, tatizo mnadanganywa na huyo Mzee shoga Amsterdam.Kwa hio unalinganisha Bongo vs uingereza sio?Kwa kitu gani labda nguvu za kiuchumi,kidiplomasia,kijeshi au?
By the way, hata hicho kikao ni geresha tu. Usikute wanajadili jinsi ya kumwondoa kwao huko Mr Mzungu maana kawa mzigo usiobebeka. Atakimbilia ubalozi wa Kanada labdaKwa hio unalinganisha Bongo vs uingereza sio?Kwa kitu gani labda nguvu za kiuchumi,kidiplomasia,kijeshi au?
Halafu ukute unategemea arv zao za bure🤣🤣🤣Watanzania tuungane pamoja kwa umoja na ustawi wa taifa letu. Huu mfumo wa giza kumwabudu mwanadamu mwenzetu ni aibu kwetu sote. Rejeeni wosia wa Baba wa Taifa dhambi ya ubaguzi hakuna alie salama ,endapo PM anazodolewa hadharani!? anapanga hatima maisha ya watu!? Wengi wana mengi moyoni rejea madam VP.
Kwahiyo Mugabe aliondolewa madarakani na wazungu?Muda utasema.
Ass kissers wa Mugabe nao walikuwa wakitamba hivi hivi!
Maalim Seif hanaga msimamo, hata angepewa urais wa heshima hadi angeandamana; nguvu zake za kishirikina ziko kwenye maandamano na fujo, sawa na huyu Mr Mzungu aliyetoka baru kwenda huko kwao BelgiumYatakuwa kama ya Maalim sefu wiki 3 tu naapishwa mara hauishi mwaka huu
Mwisho miaka 5 na uchaguzi ukaja mpya
Kwa fikra hizi kwamba huyo wakili ndiye mwenye ufunguo wa maisha bora kwetu na tunashangilia nikizazi chetu hiki kukosa reasoning,kwamba huyu jamaa anatupenda sana WaTz?
Inawezekana tunachangamoto kama taifa ila siamini kama huyu mtafuta ugali anaweza kuwa ndiyo Suluhisho la nchi yetu......
Mateso, shida na tabu zako zinakuhusu wewe na ukoo wako. Kama unasubiri mzungu yeyote aje kumaliza shida zako upeo wako wa kufikiri upo chini sana no wonder unashinda unatafuta nani ka tweet nini ulete Jamii Forums mshangilie na mapimbi wenzako.Bora wazungu kuliko kikundi cha watu wanaoitwa CCM wasiojali mateso, shida na tabu za watanzania.