Ndyali
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 1,678
- 971
Ungetumia " Verified username" umetimiza vigezo vya sifa za Teuzi za JPM.Ahsante kwa kuipigia Tanzania free pro kwamba Dkt. JPM hataki vitisho. Tutaelewana tu.
Ungetumia " Verified username" umetimiza vigezo vya sifa za Teuzi za JPM.Ahsante kwa kuipigia Tanzania free pro kwamba Dkt. JPM hataki vitisho. Tutaelewana tu.
Na wewe umeamini CCM wanahaha Chadema waingie bungeni!??... Kweli bado humjui JPM vizuri. Hata asingepatikana mbunge wa upinzani hata mmoja no one cares!??, Wananchi wanahitaji maendeleo FULL STOP, sio huu usen.ge wenu wa mara Ni Yeye, mara Amsterdam, mara bunge la ulaya etc. Watu wanataka waone mabadiliko kwenye Jamii sio Siasa zenu za kilaghai.Lkn maboss zako wanahaha viti maalumu waingie bungeni
Bila wazungu ccm wangetunyonya ubongo wallah
Haya majitu ni mashetani mkuu na ndio maana yako busy humu kutetea wizi wa kura,unyanyasaji wa raia na hata mauaji.Haya majitu hayana utu kabisa ni bora hata wanyama wanaweza kuwa wema ila sio hii mijitu iliyokosa utu.Mnduku wako wewe!
Mpuuzi wewe, wakitoa misaada wanakuwa wahisani, mbona hela ya MCC mlikuwa mnailalamikia sasa kama mnaweza kujitegemea?Sasa nani kakwambia anataka misaada yao?
Magufuli anachotaka ni watu kama nyie mzibuke hizo akili ili muwe na fikra za kujitegemea! Siyo kila siku misaada kama yule mgembea wenu aliekimbia aliesema tz haiwezi kuishi bila wazungu.
Kiu yako ni kuwapiga wenzio risasi !!. Yaani hatuwezi kuweka mambo yetu sawa mpaka kwanza tuvurugane ?!Hajalinganisha kakupa mfano. Mbona unakuwa na upeo mdogo hivi!?, Bunge la ulaya lina mambo mengi ya kujadili mfano Corona etc, tatizo mnadanganywa na huyo Mzee shoga Amsterdam. Ili Tanzania ijadiliwe ilibidi muandamane bila kikomo, polisi wawapige risasi za Moto na bado muendelee kuandamana ndo Dunia ingeigeukia Tanzania kujua Kuna nini Kama ilivyokuwa Kenya 2008. Lakini mpo mmejazana mitandaoni eti mnasubiri matamko toka ulaya!??... Nyie ni WAPUMBAVU na WAPUUZI sana.
Ni kama nyie mnaotetea uharamia uliofanyika Zanzibar na baadhi ya maeneo huku Bara.Hizi ndio akili za kitumwa kumuona mzungu kama vile ni kiumbe wa sayari nyingine.
Trump anawafanyia fujo wamarekani wenzake, watu weusi wananyongwa kwa magoti ya polisi na kupigwa risasi, nani anayemfungulia kesi Trump huko ICC?.
Sasa zile tilioni 2 toka ulaya mtazipata vipi bila uwepo wa upinzani bungeni,thus mnahaha viti maalumu.Wakati mnaiba kura why amkufikiria hilo la kuwaachia wabunge wanawake wapite ili msipate tabu ya vitu maalumu.Na wewe umeamini CCM wanahaha Chadema waingie bungeni!??... Kweli bado humjui JPM vizuri. Hata asingepatika mbunge wa upinzani hata mmoja no one cares!??, Wananchi wanahitaji maendeleo FULL STOP, sio huu usen.ge wenu wa mara Ni Yeye, mara Amsterdam, mara bunge la ulaya etc. Watu wanataka waone mabadiliko kwenye Jamii sio Siasa zenu za kilaghai.
CCM ni chama hatari snInasikitisha sana kuona wazungu wanatujali sana yaaani hata wapinzani wanaopewa dhamana kutoka korokoroni ni kwa sababu ya kelele za wazungu
Uharamia ukifanywa na upinzani mambo ni poa kabisa sio ndio?!!.Ni kama nyie mnaotetea uharamia uliofanyika Zanzibar na baadhi ya maeneo huku Bara.
Mashetani wakubwa nyie na wauaji msiojali utu wa watu wengine.Uharamia ukifanywa na upinzani mambo ni poa kabisa sio ndio?!!.
Acheni kuwa na fikra mgando.
Hapo pembeni kuna kipeperushi kimeandikwa "hapa kazi tu"!Bila wazungu ccm wangetunyonya ubongo wallah
Mashetani hawana alama usoni ukicheza na mamlaka jiandae kuumia.Mashetani wakubwa nyie na wauaji msiojali utu wa watu wengine.
Good tufungiwe misaada yote na wahisani
Yap kuliko mateso ya CCMNaona wewe utafaidika
Mwenye stress ni huyo anayetegemea Amsterdam amletee ukombozi, Kama na wewe ni mmojawapo pole sana. Mnajulikana wote humu wenye upeo mdogo wa kufikiri Amsterdam atasababisha tuwekewe vikwazo. Mtasubiri sana na hilo halitatokea. Najua mna hasira na awamu ya tano Ila ndo hivyo hamna lolote mtafanya zaidi ya kubweka mitandaoni.Pole sana ila usituletee stress zako za maishani mwako hapa jukwaani,pambana na hali yako kwanza na ukija hapa uwe umetulia!
Kwamba Uingereza kuna Udictator au Bunge la Ulaya linaheshimu maamuzi ya wananchi Britain? Mwambie JPM aheshimu maamuzi ya a Watanzania toka Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, na Uchaguzi Mkuu 2020.Bunge la Ulaya, siasa za Tanzania!
Mgogoro wa uingereza kujitoa umoja wa ulaya unawatoa jasho, wataweza siasa za tanzania kweli?
Legeza kidogo kauliGood tufungiwe misaada yote na wahisani