Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Hao achana nao; wao hawatakaa waelewe hesabu za siasa za Dkt. Bashiru na Mwenyekiti. Nadhanu wangojee mpasuko wa Sisiemu ili wamnunue mgombea mwingine. Safari hizi ile 2025 nasikia wanataka waende na Shangazi maana kathubutu huko Twita na FBNa wewe umeamini CCM wanahaha Chadema waingie bungeni!??... Kweli bado humjui JPM vizuri. Hata asingepatikana mbunge wa upinzani hata mmoja no one cares!??, Wananchi wanahitaji maendeleo FULL STOP, sio huu usen.ge wenu wa mara Ni Yeye, mara Amsterdam, mara bunge la ulaya etc. Watu wanataka waone mabadiliko kwenye Jamii sio Siasa zenu za kilaghai.