Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

Asanteni rafiki zetu Wazungu maana Waswahili tumebakia kuvunjana miguu sisi vs sisi!
Super
Sasa nani kakwambia anataka misaada yao?

Magufuli anachotaka ni watu kama nyie mzibuke hizo akili ili muwe na fikra za kujitegemea! Siyo kila siku misaada kama yule mgembea wenu aliekimbia aliesema tz haiwezi kuishi bila wazungu.
Mwambie Magufuli Aaanze yeye kwanza kujitegemea aoneshe mfano, aache kula,kuhonga mpaka kunya kwa kodi za walalahoi.
1605680717278.png
 
Mpuuzi wewe, wakitoa misaada wanakuwa wahisani, mbona hela ya MCC mlikuwa mnailalamikia sasa kama mnaweza kujitegemea?
Wanatoa bure? Kwa akili yako unafikir mzungu anakupa kitu bila return?

Ndio maana tunawaita nyie ni wajinga
 
Hususani akiwa yeye ndio alfa na omega kwamba akiondoka chama kina kufa kama ilivyo kwa mheshimiwa Mbowe
Tofautisha serikali na chama!!!!
Just think of it!!
Mashamba kuvurugwa!!
Vitega uchumi kubomolewa
Account kufungwa
Lakini bado mtu ana survive na haungi juhudi.......
 
Tofautisha serikali na chama!!!!
Just think of it!!
Mashamba kuvurugwa!!
Vitega uchumi kubomolewa
Account kufungwa
Lakini bado mtu ana survive na haungi juhudi.......
Ndio ulichokaririshwa?
 
Kama hujishughulishi unakaa kwa shemeji yako Mbowe au Sugu lazima uone unateswa Kama mkimbizi. Wanaume waliozoea kula kwa jasho hawalii lii hovyo mitandaoni. Nakuhakikishia hakuna litakalotokea.

Mmegeuka kuwa wanawake malaya mkisikia Amsterdam ka tweet hivi mnakurupushana usingizini kushangilia. Eti watu wa nje wawasaidie!?

Kama mlishindwa kuandamana ndo imetoka hiyo. Mtasubiri sana Ila nakuhakikishia hakuna litakalotokea. Kwa akili hizi za kusikilizia mabaya yaikute nchi bora CCM iendelee kutawala miaka 200 inayo.
Na ukiwafuatilia hao wanao shabikia mara nyingi utakuta wamelegea viuno
Ndo maana wameshindwa kukomaa kiume.
 
Bora wazungu kuliko kikundi cha watu wanaoitwa CCM wasiojali mateso, shida na tabu za watanzania.
Salary unasubili nini tanzania si uende huko kwao unao waabudu mkaoane huko?
Wakikuchoka wapige goti upumue kwa shida.
Mara nyingi utakuta nyie bado mnaishi kwa dada zenu ndo maana hamjui hata thamani ya uafrika wenu.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Asanteni wadau wa maendeleo...tunaomba msaada wetu hawa wakolono weusi ni hatari zaidi....
Bunge la Ulaya, siasa za Tanzania!

Mgogoro wa Uingereza kujitoa umoja wa Ulaya unawatoa jasho, wataweza siasa za Tanzania kweli?
UK wangetaka wangejitoa ndani ya umoja wa ulaya ni day One activity, lakini wanaona si busara kutoka bila mkataba wowote ule.

Sisi Tanzania karne ya 21 tunakimbizana na mabox ya kura usiku wa manane, wagombea kunyanganwa form jiani wakati wa kuzirejesha, kutekana, kuuana - mambo ya KIJIMA kabisa haya!!

Naunga mkono hoja...watuongelee na waweke maadhimio ya Bunge la ulaya kutoutambua uchaguzi huu.
 
Na wewe umeamini CCM wanahaha Chadema waingie bungeni!??... Kweli bado humjui JPM vizuri. Hata asingepatikana mbunge wa upinzani hata mmoja no one cares!??, Wananchi wanahitaji maendeleo FULL STOP, sio huu usen.ge wenu wa mara Ni Yeye, mara Amsterdam, mara bunge la ulaya etc. Watu wanataka waone mabadiliko kwenye Jamii sio Siasa zenu za kilaghai.
Wewe empty head tabulalasa , bipolar disorder anaweza kuleta maendeleo ?
 
Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:

Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
sawa mwambie huyu kibaraka wa mabeberu na sisi tuna jambo letuu
 

Attachments

  • drdrdrdr.jpg
    drdrdrdr.jpg
    30.3 KB · Views: 16
Acheni uzwazwa machadema!

Waache kujadili hali inayoendelea Msumbiji na Ethiopia badla yake wajadili tz iliyotulia tuliii na watu wanaendelea na mishe zao?

Huyo Amsterdam wenu tuliwaonya kwamba anamharibia mteja wake nyie hamkusikia.
Kwanza walidai kaalikwa bunge la EU, Lissu mwenyewe akakanusha, hivyo Hawa wafuasi wa huyu bwana ni wakupuuza tu, ukiona post yao wewe isome alafu tabasamu kisha kunywa maji barid na uendelee na kusoma reply zao huku ukifurahi wanavyo jipa moyo.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom