Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

nawe unafaa kuolewa
Mimi ni kidume sihitaji mambo ya kijingakijinga, ya kuabudu mshoga.
Wazungu waje tusimame nao wima na sio watukoromee visogoni, kama manataka kukolomewa basi hiyo ni sera ya chadema mkawainamie.
 
Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:

Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Watumwa wa wazungu utawajua tu kwa matendo yao,Hao Bwana zenu wanao watuma hawana jambo lingine lolote wanalolitafuta zaidi ya kupora maliasili za Africa,wametuibia makinikia weee mrija ulipo zibwa wanahaha wakaleta kibaraka pimbilisu tumemkataa,sasa wanatafuta njia nyingine ya kuchomeka mrija

Hatuto kubali kuchomekwa mirija mingine hatuwaogopi tunasimama na Mungu wetu aliyetutetea na korona.Amen
 
Wezi kweli kweli na wanashinda kuficha pesa ulaya, kujenga mahekalu ulaya then wakifa wanazikwa afrika,wanatibiwa ulaya badala ya kujenga hospital bora afrika ( always african leaders die in foreign country hospital),wako radhi kuwatesa wananchi kwa ufukara. Hakuna mtawala wa kiafrica asiye nuka damu sijui Wana Siri gani upenda Sana kuwatoa kafara watu. Undugu, ukabila, ukanda, ubinafsi, kujitukuza. Afrika pekee ndo unawezapata case study za effect of bad leadership. Trump alisema hawana akili utasema vipi huna akili Hali wananchi wako ni fukara huku umekalia raslimali.

HOTUBA ALIYOITOA RAISI TRUMP SEPTEMBER 2018 JUU YA AFRIKA KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA NI MATUSI AU NDO UKWELI?
Haya ni mambo yaliyonukuliwa katika hotuba ya Raisi Trump akiongelea bara la Afrika. Naomba usome na utoe maoni yako. Akiwa anawasuta viongozi wa Afrika, Trump anahoji kwamba:
  • lkiwa sasa imefika miaka 50 ya uhuru na bado viongozi wengi wa Afrika wameshindwa kuwa na miundo mbinu thatbiti kwa ajili ya watu wao, je hao viongozi ni binadamu kweli?
  • Anaendelea kusema kuwa ikiwa ninyi viongozi mnakalia dhahabu, almasi, mafuta na uranium na watu wenu wanakosa chakula, je ninyi viongozi wa afrika ni watu kweli?
  • Kama mnakaa kwenye madaraka na kununua silaha kutoka kwa wageni na kuua watu wenu, je ninyi ni binadamu kweli?
  • Kama mnawaza kukaa madarakani mpaka mwisho wa maisha yetu, je ninyi ni binadamu kweli?
  • Ikiwa mnatumia maliasili ya nchi zenu kwa maendeleo ya familia zenu, je ninyi ni watu kweli?
  • lwapo hamjali kuweka miundo mbinu ya afya za watu wenu na badala yake mkiugua mnaenda kutibiwa nchi za nje, Je ninyi ni binadanu kweli?
  • Mtaheshimikaje katika mataifa yenu wakati mnapiga risasi raia wenu kama vile ni mchezo?
*Amemalizia kwa kusema kuwa viongozi wa Afrika wataendelea kuwa kama wanyama hadi watakapo badili mtazamo wao na kuheshimu watu wanaowaongoza.

kwa kifupi wewe ndo huna akili, sasa wewe unakua vp maskini kwenye nchi ambayo bado haina competition kibiashara? yaaani ?tanzania hata ukiwa na bustani ya mboga ukikomaaa unatoka kimaisha, sasa utapata wap tena maisha kama haya? ivi unadhan states ndo watu wanafurahia nchi yao? unajua ugumu wa kumiliki nyumba wewe??? ushawahi kuskia student loans? unajua obama alimaliza kulipa deni lake la chuo lini? Ushawahi kuskia morgage? Unajua tax wanalipa asilimia ngap (40%) Tanzania tax ni (18%): sasa tuwaweka kundi gan?

- Kuna sehem risasi znaskika sana kama mbele? kuna sehem blacks wananyanyaswa kama mbele? au ushasahau movement ya george floyd iliopigika dunia nzima? kwa kifupi we ni mpuuuzi
 
Sisi waafirca wacha tusemwe tu maana tunayoyafanya kwenye nchi zetu ni ya hovyo!! yaani hata kuchaguana kistaarabu tunashindwa!! hadi tuuane, tutesane, tutekane, tupeane vilema vya maisha nk - mambo gani haya jamani sisi waafrica tulipewa mkosi upi na Muumba.?
 
Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:

Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Ujinga wa hali ya juu, who cares?
 
Ni pigo kwa CCM sababu azimio mojawapo lililo mezani ni kutoitambua serikali hii iliyoundwa baada ya uchaguzi mkuu uliopita kwamba haukuwa HURU na HAKI. Sasa hapo ndipo itakuwa mwisho wa nyodo na ubabe wa CCM kuitawala Tanzania kimabavu.
Hatuhitaji kutambuliwa, basi waondoe mabalozi wao kama kweli wanamaanisha. Tutabakiza wachina, warusi na wazungu wengine wanaojitambua.
 
Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:

Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Wajadili na hali ya Marekani au Belarus ya huku sana sana ni AU,SADC hao wengine ni wapiga ramli tu kwa sasa wanapambana na COVID mkuu. Tanzania hatuna cha kujadiliwa na hao mabeberu, sawa na wewe mambo ya familia yako yajadiliwa na mtu anayeishi Kagera,kisa kuna kaongo fulani kameenda huko Kagera kanakulalalmikia kuwa umekanyima ugali. Pambaf
 
Watanzania tuungane pamoja kwa umoja na ustawi wa taifa letu. Huu mfumo wa giza kumwabudu mwanadamu mwenzetu ni aibu kwetu sote. Rejeeni wosia wa Baba wa Taifa dhambi ya ubaguzi hakuna alie salama, endapo PM anazodolewa hadharani!? Anapanga hatima maisha ya watu!? Wengi wana mengi moyoni rejea madam VP.
CCM's own making. Do they know how to sort it out?
 
Haya majitu ni mashetani mkuu na ndio maana yako busy humu kutetea wizi wa kura,unyanyasaji wa raia na hata mauaji.Haya majitu hayana utu kabisa ni bora hata wanyama wanaweza kuwa wema ila sio hii mijitu iliyokosa utu.
Mkuu nimedukuwa huku :

Institutional Agendas

European Parliament



Thursday 19 November 2020

Committee on Foreign Affairs (AFET)
Votes: Corporate due diligence and corporate accountability; Connectivity and EU-Asia relations.


Debates: Exchange of views with the EEAS on the situation in Tanzania after the elections; Exchange of views with Dr Bisera Turković, Deputy Chairperson of the Council of Ministers and Minister of Foreign Affairs of Bosnia and Herzegovina; Exchange of views with the Commissioner for Neighbourhood and Enlargement, Olivér Várhelyi, on the situation in Montenegro; Exchange of views with the Commissioner for Neighbourhood and Enlargement, Olivér Várhelyi, on the situation in Serbia.
 
kwa kifupi wewe ndo huna akili, sasa wewe unakua vp maskini kwenye nchi ambayo bado haina competition kibiashara? yaaani ?tanzania hata ukiwa na bustani ya mboga ukikomaaa unatoka kimaisha, sasa utapata wap tena maisha kama haya? ivi unadhan states ndo watu wanafurahia nchi yao? unajua ugumu wa kumiliki nyumba wewe??? ushawahi kuskia student loans? unajua obama alimaliza kulipa deni lake la chuo lini? Ushawahi kuskia morgage? Unajua tax wanalipa asilimia ngap (40%) Tanzania tax ni (18%): sasa tuwaweka kundi gan?

- Kuna sehem risasi znaskika sana kama mbele? kuna sehem blacks wananyanyaswa kama mbele? au ushasahau movement ya george floyd iliopigika dunia nzima? kwa kifupi we ni mpuuuzi
Sasa Kati ya afrika na ulaya wapi mwafrika anauliwa Kama mnyama tena blacks wenyewe,juzi znz wameuwa wasio na hatia 13 hao wa takwimu ili kumridhisha tumbo la mtawala.South Afrika ni salama zaidi kumkimbilia mtu mweupe na atakuhifadhi usiuuliwe kuliko kumkimbilia blacks.Ukwel lzm usemwe waafrika hatuwezi jiongoza.
Soma history wakati wa hata ukoloni umewahi sikia wapi mtawala wa kikoloni amewahi iba pesa za umma akizificha kwenye account bank binafsi, Au hata Sasa ulaya mtawala kakwapua matilioni Kodi za wananchi akaficha nje, au amejaza ndugu zake kwenye uongozi. Au jijengea machato, gabolite, au kabaraki na kuiacha Jamii yake ikitopea kwenye kuisoma namba. Wao Jamii kwanza sisi tumbo kwanza thus wanufaika vibaraka wako radhi kumridhisha mtawala wa kiafrica hata kwa kumwaga damu za watu maadamu wao wanasaza hata Jamii nzima ikitopea kwenye ufukara. Leo pana ma v8 zaidi ya 500 ambao yanatafuna Kodi za wananchi kila mwezi na Wala si tija kiuchumi zaidi ya kuwafurahisha vibaraka na wanufaika Hali jirani tu hakuna shule, madawati, zahanati ambapo v8 moja tu si chini ya milioni 200.
Eti ulime mboga uuze unauzia wapi Hali watu wamepunguza milo kwa siku ni mmoja au deshi angalau mtu ale mara 4 wiki ili asife njaa.
Kukaa kwa shemeji aliyeiba kura kusikufanye usione Hali halisi.
Waafrika bado Sana kulitawala Kama watu. Miaka 60 baada ya Uhuru hakuna maendeleo Hali mjerumani alikaa robo yake akafanya makubwa hata nusu hatujafikia
 

Attachments

  • Screenshot_20200518_071225.jpg
    Screenshot_20200518_071225.jpg
    78.1 KB · Views: 15
Kama hujishughulishi unakaa kwa shemeji yako Mbowe au Sugu lazima uone unateswa Kama mkimbizi. Wanaume waliozoea kula kwa jasho hawalii lii hovyo mitandaoni. Nakuhakikishia hakuna litakalotokea.

Mmegeuka kuwa wanawake malaya mkisikia Amsterdam ka tweet hivi mnakurupushana usingizini kushangilia. Eti watu wa nje wawasaidie!?

Kama mlishindwa kuandamana ndo imetoka hiyo. Mtasubiri sana Ila nakuhakikishia hakuna litakalotokea. Kwa akili hizi za kusikilizia mabaya yaikute nchi bora CCM iendelee kutawala miaka 200 inayo.
Ni bora Corona kuliko CCM hii iliyopo madarakani
 
Mkuu nimedukuwa huku :

Institutional Agendas

European Parliament



Thursday 19 November 2020

Committee on Foreign Affairs (AFET)
Votes: Corporate due diligence and corporate accountability; Connectivity and EU-Asia relations.


Debates: Exchange of views with the EEAS on the situation in Tanzania after the elections; Exchange of views with Dr Bisera Turković, Deputy Chairperson of the Council of Ministers and Minister of Foreign Affairs of Bosnia and Herzegovina; Exchange of views with the Commissioner for Neighbourhood and Enlargement, Olivér Várhelyi, on the situation in Montenegro; Exchange of views with the Commissioner for Neighbourhood and Enlargement, Olivér Várhelyi, on the situation in Serbia.
Asante sana mkuu.
 
Back
Top Bottom