stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Sasa Kati ya afrika na ulaya wapi mwafrika anauliwa Kama mnyama tena blacks wenyewe,juzi znz wameuwa wasio na hatia 13 hao wa takwimu ili kumridhisha tumbo la mtawala.South Afrika ni salama zaidi kumkimbilia mtu mweupe na atakuhifadhi usiuuliwe kuliko kumkimbilia blacks.Ukwel lzm usemwe waafrika hatuwezi jiongoza.
Soma history wakati wa hata ukoloni umewahi sikia wapi mtawala wa kikoloni amewahi iba pesa za umma akizificha kwenye account bank binafsi, Au hata Sasa ulaya mtawala kakwapua matilioni Kodi za wananchi akaficha nje, au amejaza ndugu zake kwenye uongozi. Au jijengea machato, gabolite, au kabaraki na kuiacha Jamii yake ikitopea kwenye kuisoma namba. Wao Jamii kwanza sisi tumbo kwanza thus wanufaika vibaraka wako radhi kumridhisha mtawala wa kiafrica hata kwa kumwaga damu za watu maadamu wao wanasaza hata Jamii nzima ikitopea kwenye ufukara. Leo pana ma v8 zaidi ya 500 ambao yanatafuna Kodi za wananchi kila mwezi na Wala si tija kiuchumi zaidi ya kuwafurahisha vibaraka na wanufaika Hali jirani tu hakuna shule, madawati, zahanati ambapo v8 moja tu si chini ya milioni 200.
Eti ulime mboga uuze unauzia wapi Hali watu wamepunguza milo kwa siku ni mmoja au deshi angalau mtu ale mara 4 wiki ili asife njaa.
Kukaa kwa shemeji aliyeiba kura kusikufanye usione Hali halisi.
Waafrika bado Sana kulitawala Kama watu. Miaka 60 baada ya Uhuru hakuna maendeleo Hali mjerumani alikaa robo yake akafanya makubwa hata nusu hatujafikia
we jamaa ndo mpuuzi kuliko wote, ivi kuna waliofilisi afrika kama hawa unaowatetea, kuna waliowatesa afrika kama hawa mbuzi unawaongelea, huna ata haya!
- hao ndo wamefnaya unyanyasaji mkubwa mpaka unasomwa mashuleni saaahv kabisa, haha we jamaa bana! shule hujaenda nn
- Aiseee ndugu yangu, huku hatupigi pesa kwanza pesa hakuna za kupiga, nadhan wewe ni kachalii cha juzi nadhan hujui skendo za mbele kwa kifupi nadhan ua still ka stupid flan ivi cha kulamba wazungu! after all the bloodshed za kukufanya saaahv ule ugali bila kwenda kulima kwenye mashamba ya wazungu huu ndo upuuzi unaoongea?
- kati ya afrika na ulaya wapi mwafrika anauliwa sana? Have you ever lived in any cities in the united states? probably hujawahi, nadhan umeskia tu ya george floyd, njoo uone mengi!na kingine nmenotice we ni chadema kwa statement zako chache tu, and i am 100% sure on that
- Wapi duniani hakuna poverty dogo? ivi unajua unachoongea lakini?