Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

Hizi ndio akili za kitumwa kumuona mzungu kama vile ni kiumbe wa sayari nyingine.

Trump anawafanyia fujo wamarekani wenzake, watu weusi wananyongwa kwa magoti ya polisi na kupigwa risasi, nani anayemfungulia kesi Trump huko ICC?.
Vibaraka wa mhutu mnavyohangaika mtandaoni utafikiri mtazuia maamuzi yoyote ya bunge la umoja wa ulaya . Hivi mlishapandishiwa malipo nini kutoka buku saba .Baba yako , mama , Kaka ,dada, babu ,bibi ,mjomba , shangazi , ndugu zako wanaishi maisha ya mateso makubwa kutokana na ufedhuli wa utawala huu wa ccm , wewe Pimbi unashagilia kiss unalipwa buku saba na ccm ? Hizi ni akili matope ?
 
Ni pigo kwa CCM sababu azimio mojawapo lililo mezani ni kutoitambua serikali hii iliyoundwa baada ya uchaguzi mkuu uliopita kwamba haukuwa HURU na HAKI. Sasa hapo ndipo itakuwa mwisho wa nyodo na ubabe wa CCM kuitawala Tanzania kimabavu.
 
A
Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:

Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Congratulations Advocate !!!
 
Kwanza walidai kaalikwa bunge la EU, Lissu mwenyewe akakanusha, hivyo Hawa wafuasi wa huyu bwana ni wakupuuza tu, ukiona post yao wewe isome alafu tabasamu kisha kunywa maji barid na uendelee na kusoma reply zao huku ukifurahi wanavyo jipa moyo.
Nafikiri wanajaribu kupeana faraja,maana wanamaumivu, hawakutarajia kilichotokea,ukitaka kujua wanamaumivu inshu yeyote mbaya kuhusu nchi yetu wanashangilia hao utafikiri wao wanaishi Paris,hii kitu utafikiri mtu aliyeachwa na mpenziwe mara nyingi hua wanatabia hizi Kila baya litakalo mfika hufurahi sana aliyeachwa akifikiri kitabadilisha kitu kumbe hola.tuwahurumie tu[emoji2] wanamsongo wa mawazo.
 
Hatushituki, sisi ni nchi huru, taifa huru - iwe kijamii, kisiasa, au kiuchumi hatuingiliwi wala kupangiwa

= Bunge la EU mpo mbn Jamari Kashogyi aliuawa kwenye ubalozi wenu nini mlifanya?

= Bunge la EU mpo mbn Trump kang'ang'ania madaraka nini mmefanya?

Ushauri:-
Pambaneni na korona, mkiishinda ingilieni uchaguzi wa Tanzania
 
Ukiona nchi imejisimamia na kugharamia uchaguzi kwa pesa yake ya ndani, na Amani ikatamalaki. Haya mamisaada unayoyategemea peleka kwenu huko Ufipa period over
Wenzio wanahaha wapate viti maalumu ili wapate msaada we unasema mnajimudu
 
Yani Mambo ya Afrika yajadiliwe na mzungu tupo Berlin conference
Tundu Lisu ndio modern day Chifu Mangungo na Robert Amsterdam ndie Modern day Karl Peters na BUNGE LA ULAYA ndio modern day Berlin Conference

Wakijadili makuballiano ya Chief Mangungo( Tundu Lisu) na Karl Peters (Robert Amsterdam ) kuhusu mambo ya kuikoloni Tanzania ikiwemo kuweka rehani madini yetu kwa wazungu
 
Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:

Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Naona Sasa wewe imekuwa ndiyo msemaji wa watanzania!

Ya Libya tunayajua, na waliosababisha tunawajua, kifupi watanzania ni waelewa sana
 
Ni kama nyie mnaotetea uharamia uliofanyika Zanzibar na baadhi ya maeneo huku Bara.
tena huo uharamia ni lazima wafike ICC ili watie adabu, wanafikiri wanaweza kuwatesa wananchi wakatakavyo sababu tu eti waendeee kuwatawala ki mabavu.
 
Ni pigo kwa CCM sababu azimio mojawapo lililo mezani ni kutoitambua serikali hii iliyoundwa baada ya uchaguzi mkuu uliopita kwamba haukuwa HURU na HAKI. Sasa hapo ndipo itakuwa mwisho wa nyodo na ubabe wa CCM kuitawala Tanzania kimabavu.
Kwani wasipotambua tutakufa au au EU ndo rohoza waafrica.
 
Salary unasubili nini tanzania si uende huko kwao unao waabudu mkaoane huko?
Wakikuchoka wapige goti upumue kwa shida.
Mara nyingi utakuta nyie bado mnaishi kwa dada zenu ndo maana hamjui hata thamani ya uafrika wenu.
nawe unafaa kuolewa
 
Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:

Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
CHADEMA wanajitekenya wenyewe! Wanacheka wenyewe maisha yanaendelea
 
  • Thanks
Reactions: nao
JK anafurahia hadi mdadi.. ha ha ha
Kuna vitu vitatu vinachekesha sana kwenye hii katuni:

1.Kipeperushi kilichoandikwa hapa kazi tu katikati ya kipondo heavy

2.JK kufurahia hadi midadi

3.Hawa marais wastaafu nyuma yao kuna picha ya baba wa Taifa
 
Bunge la Ulaya, siasa za Tanzania!

Mgogoro wa Uingereza kujitoa umoja wa Ulaya unawatoa jasho, wataweza siasa za Tanzania kweli?
Na Kuna mgogoro Ethiopia, mkubwa kuliko wetu.

Mwisho wa siku minor issues Kama za kwetu zitawekwa pembeni
 
Back
Top Bottom