Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

Robert Amsterdam: Hali ya kisiasa Tanzania kujadiliwa katika Bunge la Ulaya kesho Alhamisi

Maccm mnavurumishia matusi upande mwingine kwa sababu sheria za mkosa ya mtandao haiwahusu. Upande mwingine ukijibu mapigo, Police wanamshitaki Max Mero. Namuomba Max Mero ayaanzishie MaCCM Forum yao ambayo watajiachia kwa kunitoa ufahamu kwa kujiondoa ubinadamu.
Nilijua mnaandamana leo, au; mmefuata nini huku kwa jamaa huyo aliyekutukana???
 
Kwamba Uingereza kuna Udictator au Bunge la Ulaya linaheshimu maamuzi ya wananchi Britain? Mwambie JPM aheshimu maamuzi ya a Watanzania toka Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, na Uchaguzi Mkuu 2020.
Sijui umetoka usingizi gani, lakini maamuzi ya watanzania ndiyo yalimweka JPM madarakani!
 
While chinese are doing business in Africa including Tanzania European Union is doing politics!!!

That is why it is no wonder to find Chinese prodiuct in every home in Africa but you can`t find European product in many homes in Africa!!!
Yaani hao Europe na CDM wanashare brain zao; ndio maana hawa jamaa badala wajipange kwa ajili ya 2025 eti wanazungumzia Majaliwa na Hussein wa Sisiemu
 
Ni kweli kabisa,huyu hawezi kuwa na suluhisho la shida zetu lakini anaweza kutusaidia tukawekena sawa.

Binafsi naamini hakuna Chama cha kuweza kuiondoa CCM madarakani kwa sasa lakini pia naona aibu kwa haya yaliyotokea ambayo nahisi hapakuwa na sababu za kuyafanya haya.

Kikwete aliwahi kupata kura chini ya asilimia 70 na alichofanya ni Chama kuunda tume na kufanya tathmini (Kinana na Nape wakaibuka na wakakemea hata mawaziri).Siioni jambo hili likifanyika kwa sasa ni kama watu wamepagawa katika kusifia na kudanganyana tu.

Kwa hatua ya Demokrasia tuliyokuwa tumefikia wengi tulitegemea miaka inavyozidi kwenda mbele kushindwa liwe jambo la kawaida na hata wagombea watumiane salaamu za kupokea ushindi na kukiri kushindwa.

Kuna dalili ambazo tunazipuuza lakini lakini ni "Alert",moja watu kuvamia vituo vya Polisi (hii ni ishara ambayo sio nzuri na inahitaji social science kujua sababu zake) la pili ni hili la mauaji yanayohusiana na siasa (njombe,Tunduma,Tarime n.k).Si ishara njema.

Naamini hakuna uchaguzi mwingine kabla ya 2025 na kama taifa ni kujipanga kwa kuandaa sio askari zaidi bali uwazi zaidi hasa katika tume ya uchaguzi.

Nahisi kwa mara ya kwanza hapakuwa na kesi za kupinga matokeo hasa ngazi ya ubunge!!
Uko sahihi nakubaliana nawewe kabisa,ila binafsi kinacho nipa shida nikumuona na kumshangilia huyo jamaa mam ndiyo anaweza kuwa shujaa wetu,hilo nitakuwa wa mwisho kulielewa
 
Na utapanic sana! Huyo Amsterdam lazima aje awabebe wote mkakae kwake
Umepaniki wewe mrembo wa kidimbwi.

Ataanza na nyie mliozoea kuita wanaume wenzenu mabeberu,mnajijua nyie ni mbuzi jike.
 
Sijui umetoka usingizi gani, lakini maamuzi ya watanzania ndiyo yalimweka JPM madarakani!


Maamuzi yameamuliwa kwa staili hii

 
Sijui umetoka usingizi gani, lakini maamuzi ya watanzania ndiyo yalimweka JPM madarakani!
Kama uelewa wako umekuelewesha kuwa viongozi wa Serikali za Mitaa walichaguliwa na Wananchi, akili yako haina Akili.
 
Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:

Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Anashangilia eti, yaani umbulula uliopitiliza
 
Ameandika hivyo katika akaunti yake ya twitter:

Excellent news! The situation in #Tanzania will be discussed in @Europarl_EN on Thursday. Looking forward to the hearing, the world needs to know Tanzania is becoming a dictatorship under Magafuli! The fight for democracy continues. Will share the streaming link in due course.
Situation in USA wataijadili lini?
 
Mungu awabariki MABEBERU/WANAUME zake JIWE.
Wewe hao wazungu hawajakupa mimba unaye waabudu? Na kuwaomnea baraka badara ya babu zako huko vijijni?

Mungu hawezi kuwabariki mashoga na ndio maana mpaka sasa wanahangaika na vi corona.
 
Inasikitisha sana kuona wazungu wanatujali sana, yaani hata wapinzani wanaopewa dhamana kutoka korokoroni ni kwa sababu ya kelele za wazungu.
Bila wazungu hata lissu asingechomoka!!!! Ilibidi wamsindikize!!!!!
 
Kwanini mnalalamika saa mkinyimwa?
Hakuna anayelalamika, bali tunashangaa kuona ufipa mlavyoshupalia utadhani hii nayo ni habari. Kwa taarifa yako Kwa sasa serikali inafikilia namna bora ya kupata uwekezaji wa Helium gas, ambayo kila taifa linakesha kwa kuomba mungu washinde tenda la kuchimba hiyo ges. Kwa mara ya kwanza tanzania is going to be the DONA KANTRI.
 
Back
Top Bottom