Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 13,481
- 26,392
Maandamano halisi huwa hayazuiliki; kipimo cha kushindwa kwenu kihalali ni pale raia walipompuuza Mr Hai & Mr Mzungu walipotaka kuwaandamanisha Watanzania. Halafu ajabu hawakutaka kabisa kuwa frontline! Lengo wakinukishe halafu wao wasepe zao mamitoni. Raia wamewashtukia nyie!Tofautisha kushindwa na kuzuiwa. Watu walizuiwa kuandama ili kuficha aibu ya watawala kwani barabara zingefungwa .