MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
jinai haifi mkuu utakuja kumuombea huruma,watu wanavuta pumziKuna mtu mmoja ambaye yuko kwenye mambo ya sheria aliwahi kuniambia hamna mwanasheria yoyote anayependa kuwa upande wa pili na Kabudi, awe muafrika au beberu
Bwana mdogo Amsterdam alipoanza kuongea ongea huko Twitter Kabudi mara moja aliingia kwenye timu ya wanasheria wa Tanzania na ndani ya siku moja tu meza ile iliweza kuidigest kesi. Kabudi alitoa taarifa kuwa hamna kesi yoyote kwenye hilo na wahusika watapotea wenyewe kadri muda unavyoenda. Kweli mpaka leo wamepotea wenyewe. Amsterdam kimya.
Hongera sana Kabudi huyu Robert Amsterdam amejifunza kitu kutoka Tanzania.
imeisha hiyoProsecutor mpya wa ICC ameteuliwa. Ni guru la sheria toka uingereza kuchukua nafasi ya Bensouda. Anaitwa Karim Khan.
yeye KK(Karim Khan) ndiye alimtetea Ruto(by the time Ruto ana Kesi ICC yeye ndiye alikuwa wakili) na Saif Al-Islam ,mtoto wa Ghadafi.
Tusubiri atakapoanza kazi June 2021.
Mshitakiwa namba one hayupo, The file is closedKuna mtu mmoja ambaye yuko kwenye mambo ya sheria aliwahi kuniambia hamna mwanasheria yoyote anayependa kuwa upande wa pili na Kabudi, awe muafrika au beberu.
Bwana mdogo Amsterdam alipoanza kuongea ongea huko Twitter Kabudi mara moja aliingia kwenye timu ya wanasheria wa Tanzania na ndani ya siku moja tu meza ile iliweza kuidigest kesi. Kabudi alitoa taarifa kuwa hamna kesi yoyote kwenye hilo na wahusika watapotea wenyewe kadri muda unavyoenda. Kweli mpaka leo wamepotea wenyewe. Amsterdam kimya.
Hongera sana Kabudi huyu Robert Amsterdam amejifunza kitu kutoka Tanzania.
Kuna mtu mmoja ambaye yuko kwenye mambo ya sheria aliwahi kuniambia hamna mwanasheria yoyote anayependa kuwa upande wa pili na Kabudi, awe muafrika au beberu.
Bwana mdogo Amsterdam alipoanza kuongea ongea huko Twitter Kabudi mara moja aliingia kwenye timu ya wanasheria wa Tanzania na ndani ya siku moja tu meza ile iliweza kuidigest kesi. Kabudi alitoa taarifa kuwa hamna kesi yoyote kwenye hilo na wahusika watapotea wenyewe kadri muda unavyoenda. Kweli mpaka leo wamepotea wenyewe. Amsterdam kimya.
Hongera sana Kabudi huyu Robert Amsterdam amejifunza kitu kutoka Tanzania.
Hii thread ilikuwa kabla marehemu hajafa? Yuko wapi leo Kabudi? Hii ndio awamu yake ya mwisho na akimaliza ashukuru.Kuna mtu mmoja ambaye yuko kwenye mambo ya sheria aliwahi kuniambia hamna mwanasheria yoyote anayependa kuwa upande wa pili na Kabudi, awe muafrika au beberu.