Robert Amsterdam: We filed today at ICC!! More to come

Hahahahahahahahah! Bahati mbaya mnatupaGA updates za kufaili kesi lakini updates za kinachoendelea baada ya hapo hamtuambii. Mkumbushe Maria Tsehai atutaarifu kesi yake naye imefikia wapi! Ahahahahahah!!!
Kesi ya uzushi kisa kikampuni chake cha Compass kunyimwa tenda za magumashi, sasa anadanga tu mjini,na rafiki yake yule wa Zanzibar uwakili wake umebaki wa kumshauri baba yake tu.
 
Hii ni habari mbaya sana pale mtaa wa saba!! aibu yao yaja...malipo huwa ni hapa hapa duniani...
 
Tuliza
Tuliza kalio sasa dunia inasukuma dawa sindano itakatikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…