Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Anazungumzia wewe? Mimi huwa nasoma thread zako hapa ila huyo Joram simjui kabisa. Maoni yangu genuine ni kwamba Tanzania wananchi wengi huwa wanatabia ya ku-overrate waandishi au wataalam. Nadhani huenda kwa sababu ya elimu yetu duni. Mwandishi anayesifika Tanzania, nchi kama Kenya anaweza kuwa kilaza. Ona mtu kama yule Balile; Bongo anajiita eti ni mwandishi wa habari lakini ukisoma maandiko yake ni kichekesho. Mayalla naye eti anaitwa mwandishi wa habari tena mkongwe!
Watu kama hawa wanaongea vitu bila uthibitisho ndio influencers wenyewe. And ndio lifestyle inayolipa kwa sasa hivi.Sijayaona
Usizunguke Nenda Moja Kwa Moja unachotaka kueleza
Ni theory tu sina ushahidi wowote na kama mimi pia natengeneza content tu jf. Ila natumia kiki na jina lako uzi wangu utambae.Kuna watu mnafurahisha Sana.
Kweli kakaKaka umelewa nenda kalale
Hao wote uliowataja hawajiiti tu waandishi wa habari ila ni waandishi wa habari wakongwe hasa Mzee Pascal Mayalla sema tu ni pro-establishment.Mwandishi anayesifika Tanzania, nchi kama Kenya anaweza kuwa kilaza. Ona mtu kama yule Balile; Bongo anajiita eti ni mwandishi wa habari lakini ukisoma maandiko yake ni kichekesho. Mayalla naye eti anaitwa mwandishi wa habari tena mkongwe!
Ni theory tu sina ushahidi wowote na kama mimi pia natengeneza content tu jf. Ila natumia kiki na jina lako uzi wangu utambae.
Mlumbi na Walumbi.Anazungumzia wewe? Mimi huwa nasoma thread zako hapa ila huyo Joram simjui kabisa. Maoni yangu genuine ni kwamba Tanzania wananchi wengi huwa wanatabia ya ku-overrate waandishi au wataalam. Nadhani huenda kwa sababu ya elimu yetu duni. Mwandishi anayesifika Tanzania, nchi kama Kenya anaweza kuwa kilaza. Ona mtu kama yule Balile; Bongo anajiita eti ni mwandishi wa habari lakini ukisoma maandiko yake ni kichekesho. Mayalla naye eti anaitwa mwandishi wa habari tena mkongwe!
Kuna kutumika na “KUA”. Wengi wanatumika mwisho wa siku wanajiaminisha kua wame “KUA”. Wengi wanatumika na sababu kibongo bongo(average citizen ni low iq) mtu akitumika anajiona mchongo kumbe ni use??n?ge tu. Anajiona amekua kumbe anatumika tu mi nakuombea hata ukitumika ujue who you are.Hapo Sawa
Ila kama huyo Robert Hariel ulimaanisha Mimi Basi umenifurahisha Sana.
Kuna Mmoja aliandika huko twitter mwaka 2020 akiwatahadharisha CHADEMA ati wajiadhari na Mimi kwani Mimi ni mtu WA system,jasusi na MAMLUKI
Nilicheka kwa Sababu Sina mawasiliano ya CCM Wala CHADEMA na Wala sina uhusiano wowote na system.
Kuna kutumika na “KUA”. Wengi wanatumika mwisho wa siku wanajiaminisha kua wame “KUA”. Wengi wanatumika na sababu kibongo bongo(average citizen ni low iq) mtu akitumika anajiona mchongo kumbe ni use??n?ge tu. Anajiona amekua kumbe anatumika tu mi nakuombea hata ukitumika ujue who you are.
Nakubali baki hivo hivo. Uhai wa mungu wala hatutishwi kuongea tunavoona na kujiskia.Watibeli hatutumiki Sisi tunatumia
Nakubali baki hivo hivo. Uhai wa mungu walailatu hatutishwi kuongea tunavoona na kujiskia.
Nakubali baki hivo hivo. Uhai wa mungu wala hatutishwi kuongea tunavoona na kujiskia.
Mtibeli eti umelambishwa asali?
Hata kichaaa akiskia hivo atshangaa. Kuna vitu haviwezekani, ila vinawezekana kama yule nyuki asipojua thamani yake au akijichukulia poa.Ila watu wananifuata na kuniambia nimelambishwa Asali
Uliona wapi Nyuki akalambishwa Asali?
Nimelewa mwanangu na hizi akili za pombe na smartphone ya kupost inanipa ujeuri na ujasiri. Ningekua sina smartphone na huu mtandao wetu pendwa wa Mr.Melo na yule kibonge Mushi usingeweza kuona post hii.Umeandika ujinga. Waache vijana waishi maisha yao ili mradi hawavunji sheria za Mungu na za jamhuri.
Wakl wengi sio hao tuu.Hapa nakunywa konyagi kubwa nikawa nawaza mawazo haya. Hebu kama wadau wa JF tuzungumze ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema kuhusu hii mada:
“CCM ina uwezo wa kumvua mtu roho yake ya kweli bila hata kutumia bunduki.”
Binafsi nimeona kwa uelewa wangu hawa content creator wa jf kama
Robert Hariel … alikuwa ni kalamu huru, mtunzi aliyekuwa anaandika kwa uchungu wa nchi. Alikuwa anazungumzia ndoto, mabadiliko, na utu.
Joram… Huyu jamaa nimemjua sana twitter na Insta ni kijana aliyependa Kiswahili, aliyekuwa anasisitiza utamaduni na maarifa. Alikuwa anaamini katika kizazi kipya chenye msimamo.
Leo hii, mimi binafsi siimini wanachokiandika ndio wanachokifanya.
Leo wanatumika kama sehemu ya machine ya CCM. Sio kwa kupiga kelele, bali kwa kupaka rangi laini za propaganda. Wanajifanya wako huru, lakini posts zao ni kama viraka vya kutengenezea sura ya chama tawala.
“Ukiwa na ndoto, ukiwa na sauti, ukiwa na ushawishi — system itakufuata. Si kwa risasi, bali kwa nafasi. Si kwa vitisho, bali kwa deals. Si kwa hofu, bali kwa heshima bandia.”
CCM ni bonge la mashine na naipenda
Inakuvuta kwa polepole. Inakupa exposure, inakupa posho, inakusogeza karibu na madaraka. Halafu taratibu, unajikuta huandiki tena kwa uchungu. Unaongea kwa ustaarabu wa hofu. Unaanza kusema “sio kila kitu kibaya.” Unaanza kutetea uzalendo wa kimazingaombwe. Unatupwa kwenye kundi la “wasomi wanaotetea maendeleo” kumbeeee ni wasomi waliokubali kunyamaza ili waendelee kumeza.
Robert na Joram hawakuanza hivi. Walikuwa na malengo halisi.
Lakini nguvu ya system ni kama bahari ya mafuta: ukidondoka, huogopi kuungua unavutwa ndani kimya kimya hadi umezwe kabisa. Dadadakei
Tunaishi kwenye taifa ambalo hata waliojaa ndoto wanageuzwa kuwa vinyago vya hofu.
Leo tunacheka na Robert na Joram, tukisema “wamekua” — kumbe wamevuliwa roho yao ya kwanza na kuvikwa suti za propaganda.
Usikubali kuamini kila mtoa hoja ni huru.
wanaongea kwa midomo yao, lakini sauti ni ya mabwana zao.
CCM si chama tu……… ni system ya kunasa fikra, kubadilisha nia, na kulipa kimya chenye madhara.
Tuwaangalie vizuri wale tunaowaita “influencers.”
Hawako pale kwa bahati.
Wengine tayari ni sehemu ya mpango wa kukutengenezea ndoto bandia.
Hapa niko konyagi ndogo ya nne mpaka namaliza kuandika hii na pia TAL hafai kua Rais sababu ana makasiriko sana atazingua mishe zangu. 😎😎