litutumbwe
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 642
- 1,303
Hiki ndicho kipande chako baada ya kurekebisha alama za uandishi:
Kwa muda sasa, najaribu kumchunguza kijana huyu anaye fahamika kama Robert Herieli almaarufu Mtibeli.
Kupitia maneno yake na tabia zake humu mtandaoni (sijajua offline), anafanana wazi kabisa na Michael Scofield. Kwa nini? Binafsi naona kijana ana uwezo mkubwa mno wa kiakili (kupitia maneno yake).
Michael Scofield, halikadhalika, hasa katika uhusika wa movie ya Prison Break, ana akili nyingi sana. Namfananisha na huyu kijana copyright.
Halikadhalika, namlinganisha na Michael Dudikoff, yule mwigizaji wa American Ninja, kwa ujasiri na kutopendelea. Kupitia maandiko yake, nimeona kijana huyu ni upanga ukatao kuwili—hana upendeleo. Sijajua offline yupo vipi.
Namlinganisha na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, kwa ubabe wake na misimamo yake humu ndani.
Sijajua offline yupoje, ila itapendeza sana ikiwa offline pia atakuwa hivi.
LAKINI,
Huyu kijana kupitia maandiko yake, anaonekana ana udhaifu sehemu moja, eneo ambalo ni muhimu mno... Ana udhaifu mkubwa sana kwa wanawake wazuri. Hii si nzuri sana kwake; anaweza kurekebisha akiona inafaa.
Kijana anaonekana hana kauli kwa wanawake wazuri, ingawa akiwa jukwaani huonekana ana kauli na strict mno, ila anaonesha akishaongeleshwa tu basi akili inaruka kabisa. Udhaifu mkubwa mno...
All in all, tuna vijana wachache wa mfano huu, na wish siku moja apewe tuzo/udaktari wa heshima. Hii ni tunu, tuitunze.