Robert Heriel anafanana mno na Michael Scofield

I couldn't expect a grown man who still lives with his mamma to understand the machinations of love.
20241014_170352.jpg
 
litutumbwe akiwa anaandika nyuzi kama hizi akili yake huwa inatetemeka, mikono inakosa balance anakua na michapio kibao maana sio mambo yake, akirudi kwenye zile nyuzi zake za kuingia kwenye mwili wa mkewe huwa hakosei kabisa.
 
Hiki ndicho kipande chako baada ya kurekebisha alama za uandishi:

Kwa muda sasa, najaribu kumchunguza kijana huyu anaye fahamika kama Robert Herieli almaarufu Mtibeli.

Kupitia maneno yake na tabia zake humu mtandaoni (sijajua offline), anafanana wazi kabisa na Michael Scofield. Kwa nini? Binafsi naona kijana ana uwezo mkubwa mno wa kiakili (kupitia maneno yake).

Michael Scofield, halikadhalika, hasa katika uhusika wa movie ya Prison Break, ana akili nyingi sana. Namfananisha na huyu kijana copyright.

Halikadhalika, namlinganisha na Michael Dudikoff, yule mwigizaji wa American Ninja, kwa ujasiri na kutopendelea. Kupitia maandiko yake, nimeona kijana huyu ni upanga ukatao kuwili—hana upendeleo. Sijajua offline yupo vipi.

Namlinganisha na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, kwa ubabe wake na misimamo yake humu ndani.

Sijajua offline yupoje, ila itapendeza sana ikiwa offline pia atakuwa hivi.

LAKINI,

Huyu kijana kupitia maandiko yake, anaonekana ana udhaifu sehemu moja, eneo ambalo ni muhimu mno... Ana udhaifu mkubwa sana kwa wanawake wazuri. Hii si nzuri sana kwake; anaweza kurekebisha akiona inafaa.

Kijana anaonekana hana kauli kwa wanawake wazuri, ingawa akiwa jukwaani huonekana ana kauli na strict mno, ila anaonesha akishaongeleshwa tu basi akili inaruka kabisa. Udhaifu mkubwa mno...

All in all, tuna vijana wachache wa mfano huu, na wish siku moja apewe tuzo/udaktari wa heshima. Hii ni tunu, tuitunze.

Wiki hii upepo umenipitia walahi.
Nashukuru Sana Mkûu.

Kutajwa tajwa hasa na Watu usiowajua kwamba wanapenda Kile unachokifanya inafurahisha Sana walahi. Siô Siri kupongezwa inaraha Sana😀😀

Umenifurahisha Hapo uliposema napenda Wanawake Wazuri. Mkûu Wanawake Wazuri ni tulizo la Moyo na Àkili. Waliumbwa kwaajili yetu hivyo huo siô udhaifu😊😊

Mwisho, narudia tenà Ahsante sana
 
Mimi Naamini hata ninyi mnaweza kuandika haya ninayoandika semà siô Hobby Yenu.
Hapana binafsi siwezi kuandika jambo nina vitu vingi navijua napenda kila mtu ajue hasa humu, ila nakosa fursa hii kwa sababu ya kushindwa kuandika tu🤔
 
Hiki ndicho kipande chako baada ya kurekebisha alama za uandishi:

Kwa muda sasa, najaribu kumchunguza kijana huyu anaye fahamika kama Robert Herieli almaarufu Mtibeli.

Kupitia maneno yake na tabia zake humu mtandaoni (sijajua offline), anafanana wazi kabisa na Michael Scofield. Kwa nini? Binafsi naona kijana ana uwezo mkubwa mno wa kiakili (kupitia maneno yake).

Michael Scofield, halikadhalika, hasa katika uhusika wa movie ya Prison Break, ana akili nyingi sana. Namfananisha na huyu kijana copyright.

Halikadhalika, namlinganisha na Michael Dudikoff, yule mwigizaji wa American Ninja, kwa ujasiri na kutopendelea. Kupitia maandiko yake, nimeona kijana huyu ni upanga ukatao kuwili—hana upendeleo. Sijajua offline yupo vipi.

Namlinganisha na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, kwa ubabe wake na misimamo yake humu ndani.

Sijajua offline yupoje, ila itapendeza sana ikiwa offline pia atakuwa hivi.

LAKINI,

Huyu kijana kupitia maandiko yake, anaonekana ana udhaifu sehemu moja, eneo ambalo ni muhimu mno... Ana udhaifu mkubwa sana kwa wanawake wazuri. Hii si nzuri sana kwake; anaweza kurekebisha akiona inafaa.

Kijana anaonekana hana kauli kwa wanawake wazuri, ingawa akiwa jukwaani huonekana ana kauli na strict mno, ila anaonesha akishaongeleshwa tu basi akili inaruka kabisa. Udhaifu mkubwa mno...

All in all, tuna vijana wachache wa mfano huu, na wish siku moja apewe tuzo/udaktari wa heshima. Hii ni tunu, tuitunze.
Unasemaaaa!!!
 
Attachments

  • IMG_3145.jpeg
    IMG_3145.jpeg
    503.1 KB · Views: 3
Wiki hii upepo umenipitia walahi.
Nashukuru Sana Mkûu.

Kutajwa tajwa hasa na Watu usiowajua kwamba wanapenda Kile unachokifanya inafurahisha Sana walahi. Siô Siri kupongezwa inaraha Sana😀😀

Umenifurahisha Hapo uliposema napenda Wanawake Wazuri. Mkûu Wanawake Wazuri ni tulizo la Moyo na Àkili. Waliumbwa kwaajili yetu hivyo huo siô udhaifu😊😊

Mwisho, narudia tenà Ahsante sana
Acha weee…
 
Attachments

  • IMG_3145.jpeg
    IMG_3145.jpeg
    503.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom